Hatimaye Urusi yaamrisha wanajeshi wake waondoke eneo la mapampano kuepuka maafa zaidi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna namna Ukraine wameibuka kama ambao wamepagawa, fulu kujitoa mhanga aisei....mzuka hadi basi, hii imewashangaza Urusi mpaka wakapoteana, wakawa wanauawa kama nzige, imefikia hatua za kuagizwa wakimbie mapambano, wameacha silaha na kutoka nduki.

Vijana wanakomboa ardhi yao, bendera yao, mashamba yao, mito yao, milima yao......mbele kwa mbele, kishujaa.
====================

Russia has ordered its troops to withdraw from two front line positions in eastern Ukraine in the face of a shock advance by Ukrainian forces.
The retreat on Saturday marked the most significant gain for Ukraine’s military since they defeated a Russian attempt to conquer the capital, Kyiv, back in March.

"The Russian army in these days is demonstrating the best that it can do - showing its back," Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said in a video released by his office Saturday night.

"And, of course, it's a good decision for them to run."

Ukrainian forces, backed by increasingly powerful Western weapons, have captured hundreds of square miles of territory from Russian control in the past four days across the Kharkiv region, as the Russian line collapsed.

Mr Zelenskyy said Ukraine's military had liberated around 2,000 square kilometres of territory since the counteroffensive started.

Analysis: How Ukraine blew a hole in Russia's defences

Images on social media showed triumphant soldiers replacing Russian flags with the colours of yellow and blue in villages, towns and cities as they fell back under Ukrainian control after months of Russian occupation.

A top Ukrainian commander said more cities would follow as he watched a flag-raising ceremony, accompanied by the national anthem, at the small city of Banakliia, which was one of the first to be recaptured.

"I am sure that this is not the last city," Colonel General Oleksandr Syrskyi said, dressed in full combat gear.

"Ahead of us is Kupiansk, which is already half taken by our troops. Ahead of us is Izyium and many others."
Pictures have emerged of the Ukrainian flag flying over Kupiansk, which had been an important logistics hub for Russia to send supplies to its troops in the crucial southeastern Donbas region.
Images have also been posted of social media of Ukrainian troops at the gateway of Izyium - the main bastion for Russian forces in the area. It was a city was that captured by Russia during the first weeks of the war and had remained under Russian control ever since - until now.

Explaining the Russian withdrawal, defence ministry spokesman Igor Konashenkov said Russian troops would be regrouped from the Balakliya and Izyum areas to the Donetsk region in the Donbas.

Mr Konashenkov said the move is being made "in order to achieve the stated goals of the special military operation to liberate Donbas".

MSN
 
Propaganda

Bahati Mbaya kwa Wanajeshi wa Urusi Ni kwamba Kama mji wa Lyim ukikamatwa na Ukraine Basi watakuwa hawana pa kutokea. Wakati Wanajeshi wa Ukraine walipokuwa wanarudi nyuma na kuachia miji ya Lysynchansk na Izyum baada ya kuzungukwa na Wanajeshi wa Urusi waliwaona wajinga. Sasa watakuwa na either wanyoshe mikono juu au wapambane wafe wakiwa kwenye mapambano.

Mpaka mda huu Ukraine imekomboa maeneo yenye ukuwa wa 3000 Kilometa za Mraba (Ndani ya siku 4 TU). Huu ukubwa Ni Sawa na ukubwa wa mkoa wa Dar Mara 2. Urusi alitumia wiki 6 kuuteka mji wa Izyum lakini Ukraine wametumia masaa 12 kuuchukua mji huo. Nadhani zile HIMARS ndio Tunaona faida yake.

Kuna watu waliziponda HIMARS kwamba tangu zipelekwe Ukraine hazijakomboa hata Kijiji,Kumbe kazi ya HIMARS Ni Kukata mizizi Chini ya Ardhi huku mti ukionekana mzima kwa juu,upepo ukipita mti unadondoka mpaka watu wanashangaa.

Wanajeshi wa Urusi wameacha nyuma Silaha Nyingi Sana kuanzia Vifaru,Maroketi na Howtizer. Hii Ni faida kwa Ukraine.
 
Kaka hizo HIMARS ni moto mwingine, zinaonesha ni mziki mnene.
 
Urusi mbona mnatuacha njia panda washabiki wenu, au nguo mliojipima haiwaenei, angalia Sasa dogo zele anavyo rudisha maeneo kizembe tu.
"The Russian army in these days is demonstrating the best that it can do - showing its back," Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said.
 
Askari wa kirusi ili awe salama dhidi ya Himars lazima aachie michuma chuma yoote ya silaha za kirusi achimbe! Akiing'ang'ania atalipuliwa yeye na hayo machuma chuma....
... pro-Fashisti wakiambiwaga michuma ya Kirusi si lolote kwa advanced technologies huwa wanakuwa wagumu sana kuelewa nadharia. This time wasipoelewa tena pamoja na practical zote zilizofanyika watakuwa watu wa ajabu sana.
 
Back
Top Bottom