Hatimaye Urusi yaamrisha wanajeshi wake waondoke eneo la mapampano kuepuka maafa zaidi

Naona umeamua kufungua uzi wako huku...kule umeamua kukimbia.....

Pro west bana wanapenda kujitunisha
 
MK254, nikwambie kitu: Putin ni binadamu ambaye ni Mega Smart Upstairs, tactician na former KGB General msimchukulie poa hata kidogo - wanajeshi wa Urusi sio kwamba wamekimbia wala nini sijui, kilicho fanyika pale ni lijiondoa makusudi kwenye baadhi baadji ya vijiji ambavyo havina umuhimu wowote kwenye vita hii vile vile na vimiji, wakaabiwa waache baadhi ya zana za kivita vikiwemo vifaru na APC vile vile wasilipue madaraja, reli na barabara vyote waviache intact.

Lengo la usanii huu wa Putin na Majenerali wake ni kutaka kumchota akili Zelenky na jeshi lake, na kweli jeshi la Ukraine lilipo ona halikupata upinzani mkubwa kutoka kwa wanajeshi wa Russia na wanamgambo wa Luhansk - Zelensky na majenerali wake wakabweteka hivyo wakaagiza wanajeshi wengi walio kuwa wanalinda Mkoa wa Kiev na jiji kwamba waje kusini mashariki kongeza nguvu na ulizi wa kuwakomesha Warusi yaani wakarundika wanajeshi wengi kusini mashariki wakasahau Kiev, wajuzi wa mambo wanasema mpaka sasa ratio ya wanajeshi wa. Russia waliopo Ukraine pamoja na wanamgambo ni 1:10 in faviour ya jeshi la Ukraine compared to Russian forces,which means kuna concentration kubwa ya jeshi la Ukrane huko kusini mashariki.

Jeshi la Ukraine lilipo ingia kwenye mtego wa Putin na majenerali wake, wanajeshi wa Ukraine wakapandisha mpaka bendera ya kusherekea ushindi wao mkubwa dhidi ya wavamizi wa Urusi - yaani Zelensky na Majenerali wake hata kufikiria kwamba ushindi huu umekuwa rahisi mno-too good to be true - which is TRUE!! Yaani Zelensky na wapambe wake hawakuwaza kwamba huu unaweza kuwa mtego wa Putin ili jeshi la Ukraine liingie 18 ya Putin baadae lije kuangamizwa lote bila ya huruma, hilo Zelensky wala halishutukii au kuliwaza kabisa, kabweteka anaendelea kutamba kwamba kamuweza Putin, kumbee jeshi la Zelensky limeingia mtegoni wa Putin kichwa kichwa -Putin na Majenerali wake wanapanga final solution ya ku-deal na ujinga wa Zelensky na wafadhili wake wa magharibi once and for all - na hilo ndilo litakuja kufuata halafu Dunia ya magharibi watamlahumu sana Putin kwa kuangamiza karibu jeshi lote la Ukraine pamoja na mamluki kutoka EU/UK/US na Canada hakuna atakaye pona.

Kinacho endelea hivi sasa ni Putin na jeshi lake lina ratibu mienendo na mobilization ya jeshi la Ukraine kusini mashariki kwa kutumia satellites za Urusi in real TIME 24X7 pamoja na majasusi - hasa hasa wanacho angalia ni wapi kuna concentration kubwa ya wanajeshi, wanapa-tag kwenye systems za kuvurumisha makombora baada ya ku-feed coordinates ya sehemu ambazo majeshi ya Ukraine na zana zao zipo kwa wingi - baada ya kujiridhisha kwamba kila kitu kipo in oder basi jeshi la Urusi litaanza kuvurumishia jeshi la Ukraine zahama kwa launch long range shells za Howitzers 24X7, Flamethrowers/thermobaric missiles, SU-25,SU-34/35, Helicopter Gunships, Iskendar na Khazil Cruise missiles kutoka kwenye submarine and ships in black sea, concentration uvurumishaji shells,missiles nk utaendelea non stop Warusi mabingwa sana kweye nyanja hizo,mambo ya kusema eti Urusi itaishiwa mabom,missiles,ndege,helicopters, vifaru nk hizo ni ndoto za mchana zinazo sambazwa na propaganda za west.

Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kwamba Putin/Russia kitu ingine kabisa likihamua kufanya kweli - tusubrini mpaka mwishoni mwa mwezi huu au mwezi ujao nawahalikisheni kwamba jeshi la Ukraine na mamluki watapata wakati mgumu sana kwa kuuwawa kwa wingi na kizembe - this time Russia watatumia silaha zao zote za maangamizi save thermonuclear ICBM and niclear laden Cruise missiles, Russia haita fanya hajizi hata kidogo ili kuwakata ngebe na kuwapa fundisho wale wote wanao dharau/beza jeshi la Urusi kwamba linashindwa operation huko Ukraine.
Yaani mtu unayelima nyanya 🍅 hapo Mvomero ndio ujue mikakati ya Russia kuishinda hata Marekani anayemfadhili Ukraine. Wewe unapaswa kuwa Mirembe kabisa.
 
Daah kuna watu wanakipaji cha kujifariji [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Yaani mtu unayelima nyanya [emoji534] hapo Mvomero ndio ujue mikakati ya Russia kuishinda hata Marekani anayemfadhili Ukraine. Wewe unapaswa kuwa Mirembe kabisa.
Huyo Mkulima anavyozitaja hizo siraha za warusi utadhani hajazitumia hapo kabakiza nukes tu. icbm uitumie Ukraine wakti ni jirani tu hapo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hii vita ingekuwa ni Russia na Ukraine pekee yake Ukraine angeshapotea muda mrefu sana.

Tatizo ila mijamaa ya NATO Ikiongozwa na Marekani. Na hii Vita NATO na washirika wanaifurahia kwa kuwa inamdhoofisha Mrusi.
yamekuwa hayo tena ,si mlisema NATO si kitu si lolote ?
 
MK254, nikwambie kitu: Putin ni binadamu ambaye ni Mega Smart Upstairs, tactician na former KGB General msimchukulie poa hata kidogo - wanajeshi wa Urusi sio kwamba wamekimbia wala nini sijui, kilicho fanyika pale ni lijiondoa makusudi kwenye baadhi baadji ya vijiji ambavyo havina umuhimu wowote kwenye vita hii vile vile na vimiji, wakaabiwa waache baadhi ya zana za kivita vikiwemo vifaru na APC vile vile wasilipue madaraja, reli na barabara vyote waviache intact.

Lengo la usanii huu wa Putin na Majenerali wake ni kutaka kumchota akili Zelenky na jeshi lake, na kweli jeshi la Ukraine lilipo ona halikupata upinzani mkubwa kutoka kwa wanajeshi wa Russia na wanamgambo wa Luhansk - Zelensky na majenerali wake wakabweteka hivyo wakaagiza wanajeshi wengi walio kuwa wanalinda Mkoa wa Kiev na jiji kwamba waje kusini mashariki kongeza nguvu na ulizi wa kuwakomesha Warusi yaani wakarundika wanajeshi wengi kusini mashariki wakasahau Kiev, wajuzi wa mambo wanasema mpaka sasa ratio ya wanajeshi wa. Russia waliopo Ukraine pamoja na wanamgambo ni 1:10 in faviour ya jeshi la Ukraine compared to Russian forces,which means kuna concentration kubwa ya jeshi la Ukrane huko kusini mashariki.

Jeshi la Ukraine lilipo ingia kwenye mtego wa Putin na majenerali wake, wanajeshi wa Ukraine wakapandisha mpaka bendera ya kusherekea ushindi wao mkubwa dhidi ya wavamizi wa Urusi - yaani Zelensky na Majenerali wake hata kufikiria kwamba ushindi huu umekuwa rahisi mno-too good to be true - which is TRUE!! Yaani Zelensky na wapambe wake hawakuwaza kwamba huu unaweza kuwa mtego wa Putin ili jeshi la Ukraine liingie 18 ya Putin baadae lije kuangamizwa lote bila ya huruma, hilo Zelensky wala halishutukii au kuliwaza kabisa, kabweteka anaendelea kutamba kwamba kamuweza Putin, kumbee jeshi la Zelensky limeingia mtegoni wa Putin kichwa kichwa -Putin na Majenerali wake wanapanga final solution ya ku-deal na ujinga wa Zelensky na wafadhili wake wa magharibi once and for all - na hilo ndilo litakuja kufuata halafu Dunia ya magharibi watamlahumu sana Putin kwa kuangamiza karibu jeshi lote la Ukraine pamoja na mamluki kutoka EU/UK/US na Canada hakuna atakaye pona.

Kinacho endelea hivi sasa ni Putin na jeshi lake lina ratibu mienendo na mobilization ya jeshi la Ukraine kusini mashariki kwa kutumia satellites za Urusi in real TIME 24X7 pamoja na majasusi - hasa hasa wanacho angalia ni wapi kuna concentration kubwa ya wanajeshi, wanapa-tag kwenye systems za kuvurumisha makombora baada ya ku-feed coordinates ya sehemu ambazo majeshi ya Ukraine na zana zao zipo kwa wingi - baada ya kujiridhisha kwamba kila kitu kipo in oder basi jeshi la Urusi litaanza kuvurumishia jeshi la Ukraine zahama kwa launch long range shells za Howitzers 24X7, Flamethrowers/thermobaric missiles, SU-25,SU-34/35, Helicopter Gunships, Iskendar na Khazil Cruise missiles kutoka kwenye submarine and ships in black sea, concentration uvurumishaji shells,missiles nk utaendelea non stop Warusi mabingwa sana kweye nyanja hizo,mambo ya kusema eti Urusi itaishiwa mabom,missiles,ndege,helicopters, vifaru nk hizo ni ndoto za mchana zinazo sambazwa na propaganda za west.

Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kwamba Putin/Russia kitu ingine kabisa likihamua kufanya kweli - tusubrini mpaka mwishoni mwa mwezi huu au mwezi ujao nawahalikisheni kwamba jeshi la Ukraine na mamluki watapata wakati mgumu sana kwa kuuwawa kwa wingi na kizembe - this time Russia watatumia silaha zao zote za maangamizi save thermonuclear ICBM and niclear laden Cruise missiles, Russia haita fanya hajizi hata kidogo ili kuwakata ngebe na kuwapa fundisho wale wote wanao dharau/beza jeshi la Urusi kwamba linashindwa operation huko Ukraine.
kuivamia Ukraine ni kiashiria kuwa Putin ni kilaza ,alternatives zilikuwa nying sana mbali na uvamiz ila aliamin matokeo ya haraka na akashindwa tambua Ukrane iliivumilia sana Urusi na round hii wapo tyr kuiuza hata nchi yao ili kuikomoa Urusi dhidi ya uonevu wake dhidi ya majirani
 
Adjustments.jpg

mie hata sisemi sana leo RUSSIA wanapatiwa bando la Saizi yako toka tigo. wagawane.
 
Back
Top Bottom