Hatimaye Urusi yaamrisha wanajeshi wake waondoke eneo la mapampano kuepuka maafa zaidi

Naona umeamua kufungua uzi wako huku...kule umeamua kukimbia.....

Pro west bana wanapenda kujitunisha
 
Yaani mtu unayelima nyanya 🍅 hapo Mvomero ndio ujue mikakati ya Russia kuishinda hata Marekani anayemfadhili Ukraine. Wewe unapaswa kuwa Mirembe kabisa.
 
Daah kuna watu wanakipaji cha kujifariji [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Yaani mtu unayelima nyanya [emoji534] hapo Mvomero ndio ujue mikakati ya Russia kuishinda hata Marekani anayemfadhili Ukraine. Wewe unapaswa kuwa Mirembe kabisa.
Huyo Mkulima anavyozitaja hizo siraha za warusi utadhani hajazitumia hapo kabakiza nukes tu. icbm uitumie Ukraine wakti ni jirani tu hapo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hii vita ingekuwa ni Russia na Ukraine pekee yake Ukraine angeshapotea muda mrefu sana.

Tatizo ila mijamaa ya NATO Ikiongozwa na Marekani. Na hii Vita NATO na washirika wanaifurahia kwa kuwa inamdhoofisha Mrusi.
yamekuwa hayo tena ,si mlisema NATO si kitu si lolote ?
 
kuivamia Ukraine ni kiashiria kuwa Putin ni kilaza ,alternatives zilikuwa nying sana mbali na uvamiz ila aliamin matokeo ya haraka na akashindwa tambua Ukrane iliivumilia sana Urusi na round hii wapo tyr kuiuza hata nchi yao ili kuikomoa Urusi dhidi ya uonevu wake dhidi ya majirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…