Hatimaye 'viatu vya shetani' vyaingia sokoni by Lil Nas

Hatimaye 'viatu vya shetani' vyaingia sokoni by Lil Nas

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Rapa kutoka pande za Marekani Lil Nas X ameingiza sokoni raba alizoziita ni viatu vya Shetani(Satan shoes).

Raba hizo zenye nembo ya Nike zina alama ya nyota yenye pembe sita na msalaba uliogeuzwa huku ikiwa na matone halisi ya damu ya binadamu katika eneo la soli.Upande wa mbele wa raba hio kuna maandishi ya bibilia yanayosomeka Luka 10:18(Luke 10:18).

Rapa huyo ambaye alitoa pea 666 za mwanzo za raba hizo siku ya Jumatatu ziligombaniwa na watu kwa kunuliwa kiasi cha kwisha zote na huku order kibao zilikiendelea kupokelewa za uhitaji wa raba hizo

Hata hivyo kampuni ya Nike imesema haina mkataba wala haijatoa kibali cha logo yao kutumika kwenye kiatu hicho na tayari imefungua mashtaka kwa kampuni ya ubunifu iloyochora logo hio.

Bado haijajulikana hio damu ya binadamu inatoka wapi.

Dunia inaenda kasi sana,Jionee raba yenyewe hapo chini.

Chanzo;CNN
maxresdefault.jpg
_117751674_satan-shoes1.jpg
images.jpg
_117751676_satan-shoes2.jpg
_117751674_satan-shoes1.jpg


_117751674_satan-shoes1.jpg
 
Huyu dogo juzi nime mblock baada ya kuona post za kishoga haziishi kwenye page yake
 
Sijaelewa hapo kwenye damu halisi ya binadamu.

Unamaanisha ukinunua raba kuna mtu anachanjwa kidogo alafu wananyinyizia kwenye kiatu au
 
Back
Top Bottom