Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Leo ndio nimeamini Tanzania si lolote si chochote mbele ya hao mnaowaita mabeberu.Yaani nguvu iliyoyumika kuwaaminisha eti hali ni shwari ni dhahiri kibano cha mameberu ndio sababu ya haya yote,si kwa nguvu ile iliyotumika.
Sasa hapa shida iko chadema au ccm?
 
Watu watakula BAN hatari ktk huu Uzi, maana ufipa si kwa mapovu hayo!! Hebu tulizeni jazba, mkt wenu anapiga faru John, km vipi nyie unganeni naye ili kupunguza presha
 
Mmmmmmmmmh! ndipo hapo mnapokosea, hamko consistent
Consistency IPO Dada..ichunguze utaiona wazi.Iwe CCM ama Chadema,wote wapo consistent kwenye maslahi yao..Haijawahi kutokea wakawa na option ya kuchagua ama maslahi au kitu kingine wakaacha maslahi..Hayo manenomaneno sijui watetezi,wapiganaji,makamanda etc...ni blablaa tu za kuhalalisha maslahi.Ninawaunga mkono sana kwenye hill kwasababu wamekuwa real sana..Hawaja'fake' and I hate fakeness..
 
Nyie watu hamna akili? Jana lissu alisema hakuna kushiriki bungeni wsla popote hadi serikali za mitaa na mkafurahi. Ila leo tena mnasema bora maridhiano
Kwa style hii ndio maana mmepata mbunge mmoja.
JPM nakuomba endelea kuwakomesha haea makamanda uchwara mpaka wapate akili
Ili kujenga maridhiano na katika muktadha huu huu, JPM aombwe kuwateua Zitto, Mbowe na Sugu waende Bungeni katika vile viti vyake maalumu.

Uchaguzi umekwisha. Tujenge Nchi tu sasa.
 
Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Yale yale

Leo Chadema imekufa rasmi

Watakachofanya CCM watawaanzishia chama kingine wakiona kinakuwa kidogo wanakiua tena wanawaleteeni kingine.
 
Jamani niyakweli hii mbona kama bunge lilisha ahirishwa ama naota
 
Mkuu usiwaze hata, hapa kila kitu kinawezekana ndiyo maana uwa nasema tatizo letu siyo katiba mpya bali ni vyombo vinavyoweza kusimamia sheria zetu maana hata katiba tuliyo nayo kuna mengi hayafuatwi hata ikiletwa mpya hatofuatwa.
 
Hahhahhaahaahahahahahaaaaaaaa, sitakuja kusikia UPUMBAVU eti nini nini fyoko fyoko et chama cha upinzani, namaliza hivyo yani. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji24][emoji24][emoji24][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tangu mwanzo nilikuwa napendele cdm wapeleke wabunge wa viti maalum bungeni.
Chama kinahitaji pesa ili kiweze kujiendesha, hao wabunge ni moja ya chanzo cha mapato ya chama.
Kusikiliza ushauri wa kigogo wa tweeter si vibaya lakini kufuata kila anachoamua nadhani haitakuwa sawa.
 
Bora akae huko huko Belgium tu
 
Katibu mkuu wa Chadema ndiye amepeleka majina kama sheria inavyoelekeza?
Sheria ya tume inawataka Chadema wapeleke majina ya viti maalum.
Katibu wa chama asipotii basi mwenyekiti wa Bawacha taifa anamamlaka ya kupeleka majina kivyovyote vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…