Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sasa kama siasa za Africa hazijawahi kuwepo kwa ajili ya kupigania wananchi hilo ni jambo la kufurahia au la kuunga mkono kwa mtu mwenye akili timamu au linapaswa kupigwa vita kwa nguvu zote?Kubalianeni na sisi kuwa siasa za Africa hazijawahi kuwepo kwaajili ya kupigania wananchi,it's all about [emoji383].[emoji23][emoji23]
Wewe ni vuvuzela tu wala hujulikani uko na msimamo upi mwanzo ulikuwa hamuutambui uchaguzi na Kibaraka Lissu jana tu akiongea na vyombo vya habari huko kwa mabeberu alisema hawatashiriki kwenye bunge. Leo bunge viti maalum wameapishwa! Nasikia na ACT Wazalendo nao watashiriki kwenye serikali ya Zanzibar. Sasa nyumb itabidi mlie tu!
Kweli wewe ni ushuzi.Chadema smart tunakataa hili dili la Mbowe kula pesa za CCM kuuza wabunge wa kike na nyinyi CCM wenye akili timamu kataeni dili la CCM kutumia pesa za walipa kodi kununua wabunge badala ya kuzitumia hizo pesa kuleta maendeleo, sisi tusipenda unafiki tumekataa na wasipenda unafiki huko CCM kataeni matumizi mabaya ya pesa za umma
Na ukweli mkuu, ni kwamba hakuna kitu kitafuta wala kuhalisha uharamia ule! Pamoja na yote, nitawaunga mkono hawa dada zetu na wakati huo huo kama chama tuki-regroup kivingine! Lisu apambane akiwa nje, Zito apige akiwa hapa, Maalim aingie serikalini Halima na co. wapambane na Ndugai na kundi lake! We need to use every opportunityUngenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
[emoji867][emoji867][emoji867]Wewe ni nani kwenye Chadema!! Tuliza mshono wakina mama wameshaapa tayari Dodoma!
Endelea kulia mkuu!Sasa kama siasa za Africa hazijawahi kuwepo kwa ajili ya kupigania wananchi hilo ni jambo la kufurahia kwa mtu mwenye akili timamu?
Tuliwaonya nyie hamuijui Tanzania 🇹🇿 mnaropoka tu eti ooooh nitaingiza watanzania barabarani nyoooooooo.Koma kabisa Hongera Mbowe & co kwa kujali mama Tanzania 🇹🇿Kama atakuwa amefanya hivyo Halima Mdee atakuwa mpumbavu Sana yaani anaenda bungeni kuhalalisha haramu kuwa halali pumbafu sana .
Narudia Tena em fikiri vzr. Hivi unafikiri ruzuku za Kila mwez 200million kwa chama kwa ajili ya uendeshaj hazitoshi pasiii na kuwepo wabunge bungen?? We una dhani ku a kuwepo wao bungen ndo Kuna endesha chama?? Em tafakar tenaChadema ikikosa watu kabisa bungeni unadhani chama kitaendeshwa vipi?
Hyo magufuli 2025 anaondoka mnatakiwa mjipange kwa miaka hyo ya mbele.sio kuwasusia
Mungu wangu! Halima Mdee umeuvunja moyo wangu kwa namna isiyoelezeka!
Basi nimekoma jamani, sitaki tena kushabikia wanasiasa!
Nimekoma!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani lile jina la nyumbu unafikirii lina maana gani?
[emoji23][emoji23]
Ndio ajifunze sasa. TL anategemea fimbo ya mbali inaua nyoka.Lissu kakimbia asiuawe lakini huko kaenda na msimamo wake binafsi huku nyuma Mbowe kala Rushwa peke yake na pengine kampa kipande mnyika huu mchongo Lissu hayupo umepigwa na wachaga watupu wapenda pesa kuliko Utu
Hahahaaa jirani bana........ Afadhali kusudi Nyani Ngabu aweze kuhamasika kuangalia vikao vya bunge tena.
View attachment 1633874
[emoji23][emoji23]naona umemtag kabisa
Wapi spana spana spana jamaani wapi ni YEYE2020 nionyesheni tafafadhali.Hongera Mbowe, wewe ni mzalendo kwa nchi yako.Achana na hilo dubwasha la kinyaturu,Ungenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
Muulize Erythrocyte atakueleza vizuri ndiyo mfia Chadema. Sasa hivi yuko nyumba ya banda lenu pale ufipa analia ile mbaya!Wewe hukumsikiliza vzr Lissu na Zitto! Mbona wamesema kushiriki Bungeni kwa CHADEMA na ACT itategemea na maamuzi ya chama? Acha kupotosha usifikiri Pete yako ndo ulimskiliza Lissu!
Nawakihamia huko wanapewa nyadhifa wee unabaki kuimba pambioMamaee Sasa Lissu sijui yuko wapi
Hawa ndio wanawake wa shoka[emoji23] Na mkiwafukuza wanahamia Chama Dola.