Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Kubalianeni na sisi kuwa siasa za Africa hazijawahi kuwepo kwaajili ya kupigania wananchi,it's all about [emoji383].[emoji23][emoji23]
Sasa kama siasa za Africa hazijawahi kuwepo kwa ajili ya kupigania wananchi hilo ni jambo la kufurahia au la kuunga mkono kwa mtu mwenye akili timamu au linapaswa kupigwa vita kwa nguvu zote?
 
Wewe ni vuvuzela tu wala hujulikani uko na msimamo upi mwanzo ulikuwa hamuutambui uchaguzi na Kibaraka Lissu jana tu akiongea na vyombo vya habari huko kwa mabeberu alisema hawatashiriki kwenye bunge. Leo bunge viti maalum wameapishwa! Nasikia na ACT Wazalendo nao watashiriki kwenye serikali ya Zanzibar. Sasa nyumb itabidi mlie tu!

Wewe hukumsikiliza vzr Lissu na Zitto! Mbona wamesema kushiriki Bungeni kwa CHADEMA na ACT itategemea na maamuzi ya chama? Acha kupotosha usifikiri Pete yako ndo ulimskiliza Lissu!
 
Chadema smart tunakataa hili dili la Mbowe kula pesa za CCM kuuza wabunge wa kike na nyinyi CCM wenye akili timamu kataeni dili la CCM kutumia pesa za walipa kodi kununua wabunge badala ya kuzitumia hizo pesa kuleta maendeleo, sisi tusipenda unafiki tumekataa na wasipenda unafiki huko CCM kataeni matumizi mabaya ya pesa za umma
Kweli wewe ni ushuzi.
 
Ungenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
Na ukweli mkuu, ni kwamba hakuna kitu kitafuta wala kuhalisha uharamia ule! Pamoja na yote, nitawaunga mkono hawa dada zetu na wakati huo huo kama chama tuki-regroup kivingine! Lisu apambane akiwa nje, Zito apige akiwa hapa, Maalim aingie serikalini Halima na co. wapambane na Ndugai na kundi lake! We need to use every opportunity
 
Kama atakuwa amefanya hivyo Halima Mdee atakuwa mpumbavu Sana yaani anaenda bungeni kuhalalisha haramu kuwa halali pumbafu sana .
Tuliwaonya nyie hamuijui Tanzania 🇹🇿 mnaropoka tu eti ooooh nitaingiza watanzania barabarani nyoooooooo.Koma kabisa Hongera Mbowe & co kwa kujali mama Tanzania 🇹🇿
 
Chadema ikikosa watu kabisa bungeni unadhani chama kitaendeshwa vipi?
Hyo magufuli 2025 anaondoka mnatakiwa mjipange kwa miaka hyo ya mbele.sio kuwasusia
Narudia Tena em fikiri vzr. Hivi unafikiri ruzuku za Kila mwez 200million kwa chama kwa ajili ya uendeshaj hazitoshi pasiii na kuwepo wabunge bungen?? We una dhani ku a kuwepo wao bungen ndo Kuna endesha chama?? Em tafakar tena
 
.... Afadhali kusudi Nyani Ngabu aweze kuhamasika kuangalia vikao vya bunge tena.
1606230337880.png
 
Kama kweli basi ni kichekesho.

Nilisema jana tu, kwamba kitendo cha Lissu kusema kwamba siku zote kuna uwezekano wa majadiliano (there's always a room for negotiation with the oppressor) ni wazi kwamba wameshakubali na ilikuwa ni suala la muda tu. In fact, hata ACT kule Zanzibari watapeleka jina la makamu wa Rais siku sio nyingi.

Tatizo la viongozi wa vyama vya upinzani hapa nchini hawako consistent ama kwa lugha nyingine hawana msimamo. Watatoka bungeni na watarudi wenyewe; watasema nchi imejaa Corona na watafanya mikutano yao bila hata kuvaa barakoa; watatangaza hawamtambui Rais na baada ya siku chache watamwita kwa jina la Mh. Rais n.k. Na wanafanya hivyo kwa sababu wako kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Si ajabu ukasikia 'mkuu wa anga' kaunga mkono juhudi.
 
Lissu kakimbia asiuawe lakini huko kaenda na msimamo wake binafsi huku nyuma Mbowe kala Rushwa peke yake na pengine kampa kipande mnyika huu mchongo Lissu hayupo umepigwa na wachaga watupu wapenda pesa kuliko Utu
Ndio ajifunze sasa. TL anategemea fimbo ya mbali inaua nyoka.
 
Sawa wao waende ila hili zigo tunalo sisi wanainchi ndio tumepigwa....na kupigwa kwetu chato imepona
 
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/wabunge-viti-maalum-chadema-waapishwa-bungeni-320868, MY TAKE: Wale waliotaka kutuaminisha kwamba uchaguzi haukua huru na haki, kwamba kura ziliibiwa na hawakubaliani na matokeo na wala hawatoshiriki wala kuingia bungeni kwa sababu ni kuhalalisha wizi wa CCM bado wapo?.

Bado ninarudia kwamba, Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa hapa Africa, na upinzani Tanzania hawajielewi wala kujitambua ni "wachumia tumbo", ni aibu sana kuwa na upinzani wa aina hii, hovyo sana hawa jamaa, walitaka kuingiza watu barabarani hawa wajinga.
 
Ungenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
Wapi spana spana spana jamaani wapi ni YEYE2020 nionyesheni tafafadhali.Hongera Mbowe, wewe ni mzalendo kwa nchi yako.Achana na hilo dubwasha la kinyaturu,
 
Wewe hukumsikiliza vzr Lissu na Zitto! Mbona wamesema kushiriki Bungeni kwa CHADEMA na ACT itategemea na maamuzi ya chama? Acha kupotosha usifikiri Pete yako ndo ulimskiliza Lissu!
Muulize Erythrocyte atakueleza vizuri ndiyo mfia Chadema. Sasa hivi yuko nyumba ya banda lenu pale ufipa analia ile mbaya!
 
Back
Top Bottom