Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap,wanatulizwa kwa hesabu nyepesi tu.Mkuu,
Una maana tunawa appease “mabeberu”?
Muache akasaidiane na gwajima kuiendeleza kaweHalima Mdee na kura zake feki za Kawe katimba bungeni!
😂😂😂Nmetukana kmme
Dah....nasikia wamesainishwa 3m na Dijey kila mwezi ....nimesikia tu [emoji2960]Siasa ni kiini macho tu, mchezo wanaujua wanaoucheza
Yn kiumla Tanzania hakuna upinzaniSITAKI TENA KUSHABIKIA UPINZANI,NIMENYOOSHA MIKONO JUU
Hahahaaaa.......!!Muache akasaidiane na gwajima kuiendeleza kawe
Mnyika na mbowe mbna wanajuando maana Yesu hakuna na wanafunzi wanawake
ndo basi tena..hili la leo ni kali kuliko zote,kwisha habari yaoYn kiumla Tanzania hakuna upinzani
Daaaah, katibu mkuu aite press aeleze nini kimejiri!
Hii kitu mbona imekuwa ghafla hivi? Kuna nini kinaendelea?
Nimefurahi kuona Nusrat Hanje amekula shavu,huyu dada ameipigania sana Chadema!
Mnyika na mbowe mbna wanajua
Au na wao NI wanawake?