Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020.
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed
HOTUBA FUPI YA HALIMA MDEE KWA NIABA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA
Nikishukuru chama changu cha
CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe ambao kupitia wao sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu, viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata
"Mh. Spika tumefanya kazi wote kwa miaka zaidi ya 10, tutafanya kazi kwa uaminifu kama Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa uadilifu mkubwa, tuna vijana wapya sisi kama dada zao tutahakikisha wanafanya kazi nzuri kwa ajili ya Taifa hili
Zaidi tuwahakikishie wana
CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu
Zaidi tuwahakikishie wana
CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu"
SPIKA NDUGAI: Muongezeeni makofi Halima, ningependa kuchukua nafasi hii kuwapongeza wabunge wapya na kwa niaba yenu wote ningeomba tuwapigie makofi.
Kwa mujibu wa ibara ya 78, ibara ndogo ya kwanza ikisomwa na ibara ya 66, ibara ndogo ya 1(B)
Suala hili lilizungumziwa na mwanaJF hapa >
Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na wanawake wa CHADEMA
CHADEMA yakanusha kupeleka majina >
John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum, tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua