Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Acha wale hiyo hela! After all wao wamekwenda kihalali wakati wenzao wamekwenda kiwizi tu!
 
Nusrat ametoka Rumande?
Daaaah, katibu mkuu aite press aeleze nini kimejiri!
Hii kitu mbona imekuwa ghafla hivi? Kuna nini kinaendelea?

Nimefurahi kuona Nusrat Hanje amekula shavu,huyu dada ameipigania sana Chadema!
 
Hizi ndiyo siasa. Ukitazama the positive side, Magu huenda akalazimika kuachia nafasi ambapo kama angeshinda bila ya magumashi asinge entertain hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…