Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Wabunge viti Maalum kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.

Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA

hawana baraka za chama acha kuzusha
 
Namuona dada yangu NUSRAT HANJE....

Maisha ni safari....

Kalala na KUNGUNI kwa miezi 3 baadae huyooo MBUNGE...

Naam KESHO HAIJULIKANI jama.....

Naaam HAIJULIKANI...usishangae SEIF SHARIFF HAMAD ni MAKAMU WA RAIS....na Jussa WAZIRI WA AFYA....
 
Wabunge viti Maalum kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.

Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA

Bi dada Miss Zomboko una uhakika gani na source ya habari yako? Maana hata hiyo clip uliyoweka, kule youtube tayari ishapigwa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…