Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Achana nacho nenda kwa DovutwaChadema hawana tofauti na CCM kwa sasa, wote wachumia tumbo tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nacho nenda kwa DovutwaChadema hawana tofauti na CCM kwa sasa, wote wachumia tumbo tu!
Wabunge viti Maalum kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Waingie Bungeni wasiingie mimi sijali. Kinachonichekesha ni misimamo ya wanaCHADEMA haieleweki.Kwanini CCM mnafurahia wapinzani(wachelewesha maendeleo) kuingia Bungeni?
Kule nako Maalim Seif anajiunga na Mwinyi sijui utaenda wapi?Leo naenda kuchoma kadi yangu ya Chadema na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Kama ni kweli mimi nitajiunga ccm kabisa!Leo naenda kuchoma kadi yangu ya Chadema na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
🤣mama D njoo tupige vigelegele
Kumbe ulikuwa unawaamini? Watu wanatafuta kula hamna loloteChadema hawana tofauti na CCM kwa sasa, wote wachumia tumbo tu!
Daaaah,katibu mkuu aite press aeleze nini kimejiri!
Hii kitu mbona imekuwa ghafla hivi?Kuna nini kinaendelea?
Kumbe ulikuwa unawaamini? Watu wanatafuta kula hamna lolote
🤣🤣🤣🤣🤣Daaaah,katibu mkuu aite press aeleze nini kimejiri!
Hii kitu mbona imekuwa ghafla hivi?Kuna nini kinaendelea?
Fake news
Bi dada Miss Zomboko una uhakika gani na source ya habari yako? Maana hata hiyo clip uliyoweka, kule youtube tayari ishapigwa chini.Wabunge viti Maalum kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA