Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Well then kama aliamua kwenda na mtindo wake akitarajia akitumie chama kwa maslahi yake wamemshtukia.Hakuna cha mabwana wawili kwani bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Bila wewe na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu asingefika kwa Amsterdam, chanzo cha kila kitu ni vitendo vyako haramu vya kishamba na kishetani
Haya ndo mambo ULIYOTUCHELEWESHEA LEO...🤣🤣🤣Hakuna cha mabwana wawili kwani bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Bila wewe na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu asingefika kwa Amsterdam, chanzo cha kila kitu ni vitendo vyako haramu vya kishamba na kishetani
Mbowe kaangalia njaa yake binafsi hakuangalia msitakabari wa chama , ni ruzuku inamtoa udenda mbowe mpaka kujitoa fahamu zote kuendekeza njaa kiasi hichoKwamba wasingepeleka hao wabunge kingeharibika kitu gani?
Kuna mwenzie mmoja anaitwa Salary nini sijui, nimemtafuta kila uzi leo sijamuona.Mzee wa TumeCCM...PoliCCM...NeCCM ha ha ha ha leo YABISI imezama mwilini...meno KUGONGANA!![emoji1787]
Hii ilikua haijawakuta.Kwani siku zote huwa tunafanyaje?
Kuna mwenzie mmoja anaitwa Salary nini sijui, nimemtafuta kila uzi leo sijamuona.
👍👍👍Hii ilikua haijawakuta.
Kina halima wameilewa slogan Ya maendeleo hayana vyama
Miaka 59 sasa Nchi chini ya CCM hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za walipa kodi zinatumika kununua upinzani mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, hata huto tuvimaendeleo kiduchu twa flyover SGR bwawa la umeme tumejaa ufisadi mkubwa kama ununuzi wa Ndege na ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, CCM ni ile ile hakuna malaika wote ni waumini wa vitendo haramu vya kishetaniHaya ndo mambo ULIYOTUCHELEWESHEA LEO...🤣🤣🤣
Eti TumeCCM..PoliCCM...KabudiCCM MboweCCM MnyikaCCM NusratCCM MdeeCCM....
Yaani neno CCM kama sala vileee🤣🤣
Sasa Slaa aliangalia NJAA...Mbowe kaangalia njaa yake binafsi hakuangalia msitakabari wa chama , ni ruzuku inamtoa udenda mbowe mpaka kujitoa fahamu zote kuendekeza njaa kiasi hicho
😂😂😂😂 Ngoja tumuite Salary Slip .Kuna mwenzie mmoja anaitwa Salary nini sijui, nimemtafuta kila uzi leo sijamuona.
It was too early. Wangevuta muda kuangalia other possibilities. Wangewafanya wawe desperate huenda wangelainika kidogo.Ni afadhali wawepo bungeni kuliko kususia
Uchaguzi haukuwa huru na haki ndiyo maana CCM inatumia gharama kubwa pesa za walipa kodi kulazimisha watu waamini kuwa haikuubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani.Uchaguzi ulikuwa huru na haki. Acheni ng'e ng'e sasa ni muda wa kazi tu. Mbowe na genge lake wamedhalilika vibaya Sana.
AnajiliwazaMsimamo wenu wewe ka nani? Halima kasema ametumwa na chama,wewe unaleta longo longo za msimamo wenuView attachment 1633949
Sasa CCM ni ileile...Miaka 59 sasa Nchi chini ya CCM hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za walipa kodi zinatumika kununua upinzani mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, hata huto tuvimaendeleo kiduchu twa flyover SGR bwawa la umeme tumejaa ufisadi mkubwa kama ununuzi wa Ndege na ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, CCM ni ile ile hakuna malaika wote ni waumini wa vitendo haramu vya kishetani
Hapana BUDAAAAAA ,ni bora sisi wapenda demokrasie tuchange buku buku ,elfu tano tano tuendeshe chama!! Hapa kweli nimekubali misimamo wa Hilder Newton .Hawafukuzwi Wala Nini...
Komitmenti ya milioni 3 kila mwezi SI NDOGO BUDAAA....🤣🤣
Kama wangekwenda huko kwa mapenzi yao kwa ridhaa zao na wanachama ingeleta maana, kwenda Bungeni kisa mwenyekiti anawinda ruzuku ndiyo Dhambi kubwa waliyoitendaHii move ilikua muhimu, hili siyo suala la ushabiki, ni kupiginia haki. Nashukuru sana kwamba Halima Mdee, Jesca Kishoa, Matiko na Bulaya, wapo bungeni. Kulingana na ushabiki wa pande zote mbili, ambao wote watawaponda kwamba ni wachukia tumbo wasaliti nk, mimi naona ni mashujaa! Hatua ya kwenda bungeni biyond all the odds, ni ushujaa uliotukuka, na hata ambao hawaelewi kwa sasa wataelewa tu.
Milioni 3 bab weyeeeMpunga ladhina, chezea pesa wewe, na hapo lazima kila mwezi wakatwe mpunga wa kumchangia Mlevi wa Konyagi.
Hapana BUDAAAAAA ,ni bora sisi wapenda demokrasie tuchange buku buku ,elfu tano tano tuendeshe chama!! Hapa kweli nimekubali misimamo wa Hilder Newton .Hawafukuzwi Wala Nini...
Komitmenti ya milioni 3 kila mwezi SI NDOGO BUDAAA....🤣🤣