Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Hakuna cha mabwana wawili kwani bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Bila wewe na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu asingefika kwa Amsterdam, chanzo cha kila kitu ni vitendo vyako haramu vya kishamba na kishetani
Well then kama aliamua kwenda na mtindo wake akitarajia akitumie chama kwa maslahi yake wamemshtukia.

Wao wanaendelea kivyao na yeye ajazuiwa the message is simple CDM aitaki tena kuwa implicated na watu wanaomtumia Lissu; that’s just my view.

The timing of it all is just humiliating to Lissu.
 
Hakuna cha mabwana wawili kwani bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Bila wewe na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu asingefika kwa Amsterdam, chanzo cha kila kitu ni vitendo vyako haramu vya kishamba na kishetani
Haya ndo mambo ULIYOTUCHELEWESHEA LEO...🤣🤣🤣
Eti TumeCCM..PoliCCM...KabudiCCM MboweCCM MnyikaCCM NusratCCM MdeeCCM....

Yaani neno CCM kama sala vileee🤣🤣
 
Kwamba wasingepeleka hao wabunge kingeharibika kitu gani?
Mbowe kaangalia njaa yake binafsi hakuangalia msitakabari wa chama , ni ruzuku inamtoa udenda mbowe mpaka kujitoa fahamu zote kuendekeza njaa kiasi hicho
 
Haya ndo mambo ULIYOTUCHELEWESHEA LEO...🤣🤣🤣
Eti TumeCCM..PoliCCM...KabudiCCM MboweCCM MnyikaCCM NusratCCM MdeeCCM....

Yaani neno CCM kama sala vileee🤣🤣
Miaka 59 sasa Nchi chini ya CCM hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za walipa kodi zinatumika kununua upinzani mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, hata huto tuvimaendeleo kiduchu twa flyover SGR bwawa la umeme tumejaa ufisadi mkubwa kama ununuzi wa Ndege na ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, CCM ni ile ile hakuna malaika wote ni waumini wa vitendo haramu vya kishetani
 
Mbowe kaangalia njaa yake binafsi hakuangalia msitakabari wa chama , ni ruzuku inamtoa udenda mbowe mpaka kujitoa fahamu zote kuendekeza njaa kiasi hicho
Sasa Slaa aliangalia NJAA...
Mbowe anaangalia NJAA...
...............anaangalia NJAA...
...............anaangalia NJAA...

Huyo asiyekuwa na TUMBO na MDOMO hapo CHADEMA mnasubiri "ashushwe na manani eeee"?!!!!🤣🤣
 
Uchaguzi ulikuwa huru na haki. Acheni ng'e ng'e sasa ni muda wa kazi tu. Mbowe na genge lake wamedhalilika vibaya Sana.
Uchaguzi haukuwa huru na haki ndiyo maana CCM inatumia gharama kubwa pesa za walipa kodi kulazimisha watu waamini kuwa haikuubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani.
 
Miaka 59 sasa Nchi chini ya CCM hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za walipa kodi zinatumika kununua upinzani mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, hata huto tuvimaendeleo kiduchu twa flyover SGR bwawa la umeme tumejaa ufisadi mkubwa kama ununuzi wa Ndege na ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, CCM ni ile ile hakuna malaika wote ni waumini wa vitendo haramu vya kishetani
Sasa CCM ni ileile...
CHADEMA ni ileilee...
ACT Ni ileilee.....
NCCR CUF TADEA....

Ebwana UNAJIUMIZA tu mkuu HELMINTHESIS tutakuchangia UPANDE ROCKET uende mbinguni UKATUCHUKULIE NA KUTULETEA huyo asiyekuwa WALEWALE...🤣🤣
 
Hawafukuzwi Wala Nini...

Komitmenti ya milioni 3 kila mwezi SI NDOGO BUDAAA....🤣🤣
Hapana BUDAAAAAA ,ni bora sisi wapenda demokrasie tuchange buku buku ,elfu tano tano tuendeshe chama!! Hapa kweli nimekubali misimamo wa Hilder Newton .
 
Hii move ilikua muhimu, hili siyo suala la ushabiki, ni kupiginia haki. Nashukuru sana kwamba Halima Mdee, Jesca Kishoa, Matiko na Bulaya, wapo bungeni. Kulingana na ushabiki wa pande zote mbili, ambao wote watawaponda kwamba ni wachukia tumbo wasaliti nk, mimi naona ni mashujaa! Hatua ya kwenda bungeni biyond all the odds, ni ushujaa uliotukuka, na hata ambao hawaelewi kwa sasa wataelewa tu.
Kama wangekwenda huko kwa mapenzi yao kwa ridhaa zao na wanachama ingeleta maana, kwenda Bungeni kisa mwenyekiti anawinda ruzuku ndiyo Dhambi kubwa waliyoitenda
 
Back
Top Bottom