Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Kaondoka Slaa na bado hatukushoboka naye, ndio itakuwa hao waliopo bado cdm bila kufuata misimamo yetu?
Kwani toka Dr.Slaa ameondoka MMEPATA KATIBU MKUU credible and outstanding?!!

Ninyi si mna hazina ya VICHWA?!!!

Mbona mlimchukua Dr.Mashinji...kipi Cha ajabu alichokuwa anacho?!!!

Kwa kuwa ni msukuma na mlitegemea MTAZOA KURA ZA KANDA YA ZIWA?!!

KALAGHABAHO🤣🤣
 
Alaa kumbee ni MTATA kihivyo si ndio eee?!!

Basi ANZISHA chama chako....mtakuwa na Lissu sijui na Nani Mwingine🤣🤣
 
Sidhani Kama Moto wangu unakubaliana na hii Hali. Walichofanya chadema wanawapa CCM credibility.
 
Tafuta chama uniunge Chadema haina msimamo na wewe umesema una msimamo
Sasa hapo huoni Kama kuwa Chadema NI kivhekesho Bora basi uunge juhudi
Maana kiongozi was chama aliyebaki anasimamia maneno yake NI Magu tu
Sijawahi kuwa muumini wa siasa mfu za kijamaa.
 
Wengi humu mnalalamika tu, hivi mnadhani Mbowe atakiendeshaje Chama. Hao wengine wamekimbia wamemwachia mzigo Wa Chama.

Hongera Mbowe kwa kuujua mchezo Wa siasa vizuri.
 
Lakini Hawa si ndo wale waliokuwa wanamshawishi mwenzao alieshinda agome😲 doh!, Mm ndo mana ukiniambia sijui tuandamane, sijui tukalale kwenye vituo vya kupigia kura, sitakagi kusikia hata kidogo huu upuuzi, kha! Ama kweli njaa mwanaukome, ujeuli kwa mama yako,.
 
Tupo sana. Hatujateleleka maana tunajua mapambano si lelemama. Haijalishi ni lini ila ishindi utakuja kupatikana siku. Kazi yetu ni kujenga siasa za kweli zinazoangalia itikadi bora kwa maslahi bora ya nchi yetu na wala sio siasa za matumbo
 
Mimi nawaunga mkono akina mama wa Chadema kwa kuamua kuchangakamkia fursa. Katika nchi ambayo midume mizima na PHD zao na korodani zao wanalazimika kumtukuza binadamu mmoja mgawa madaraka ili waweze kuishi kifahari na watoto wao na vimada wao; Unategemea akina mama wakomae?

Tena nawashauri hawa akina mama waende bungeni kwa lengo moja tu, kupokea mshahara na posho pamoja na kiinua mgongo wakimaliza miaka mitano. Wasihangaike kuwatetea Watanzania ambao wameonyesha wanapenda maisha ya utumwa!

Namwomba mdogo wangu Halima Mdee uende bungeni kula bata. Mafuriko ya Kawe ameshapatika msukuma wa kumbebesha mzigo atahangaika nayo!!!!
 
Sasa huenda idadi ya wananchi wasio na vyama ikaongezeka endapo mbowe atakaa kimya pasipo kutoa tamko lolote juu ya tuhuma zake kuchukua pesa kuuza wabunge wa kike zitaendelea kusambaa zaidi.
Alafu nikuambie kitu Minyoo, sio wote tunao furahia hili swala ni wana CCM, hapana.
Wengine hatuna vyama, hii ni kutokana kushindwa kuelewa tuende wapi.
Yanayo fanywa na CCM (baadhi) hatuyapendi, lakini hata kwa hao wanaojiita wapinzani hatupati kile tukitakacho.

Binafs mimi naangalia harakati zangu zinaendaje, hayo maswala ya siasa nawaachia wenyewe wana siasa.

Ninacho waomba mimi wailinde nchi na maadui zetu, Kiufupi nataka nife bila kuiona vita, hilo tu.

Hayo maswala sijui ajira, kila mtu apambane na hali yake.
 
Sijawahi kuwa muumini wa siasa mfu za kijamaa.
Eti kamanda falsafa ya SIASA ya CHADEMA ni ipi?!!

Mbona si WAJAMAA Wala WAKOMUNISTI Wala LEFTIST lakini kutwa kuvaa BERETI MAGWANDA MABUTI ALAMA YA VIDOLE VIDOLE VIWILI Kama akina HUGO CHAVEZ....🤣🤣
 
Mbowe hafai sasa ni wakati afukuzwe mara moja
Toka alivyompokea Lowassa nilikuwa nasema wazi wazi kuwa hafai na kafikia mwisho. Na kama sio kuwa wakali huku mitandaoni, lazima angempitisha Nyalandu kugombea urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…