Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Wengi humu mnalalamika tu, hivi mnadhani Mbowe atakiendeshaje Chama. Hao wengine wamekimbia wamemwachia mzigo Wa Chama.

Hongera Mbowe kwa kuujua mchezo Wa siasa vizuri.
Kweli kabisa mbowe ndio anatafuta pesa ya kuendeshea chama wa akina lema porojo nyingiii.
 
Toka alivyompokea Lowassa nilikuwa nasema wazi wazi kuwa hafai na kafikia mwisho. Na kama sio kuwa wakali huku mitandaoni, lazima angempitisha Nyalandu kugombea urais.
🤣🤣
CHADEMA ina wenyewe....

Na akiondoka uenyekiti anamkabidhi komredi John Mrema🤣🤣🤣
 
Hakuna siasa Tanzania.
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nacheka tu dah hahahahaha
 
Sasa ulitaka wanachama wote watoe maamuzi kimememko tu, ndio maana kukawa na viongozi pia hili swala kilikuwa na masilahi mapana ya nchi ccm wenyewe wamekuja kushtukia upumbavu wao wakiwa too late ndo wakashtuka walifanya utopolo, itakuwa walishakutana na kuongea hata na viongozi wa upinzani hivi kweli bunge liwe na wabunge chama kimoja huo si ujinga na hasara kwa taifa hasa nature ya wabunge wa ccm kazi yao huwa ni ndiyoooo, pia mashinikizo ya nchi kukosa hyo misaada CDM wangegoma hapo si ndio raia maskini tungeumia ka zimbabwe Hali tu sasa mbaya je donor's wakijitoa. Lazima tukubali uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa wakipumbavu kuwahi kutokea Ila kususa haikuwa solutions nzuri ccm ya magufuli imejifunza kitu hapo maana iliweka wazoefu kando kisa ujuaji sasa wamekuja kushtuka kuwa ka taifa tutaumia wahisani wakila corner, ndio wamekuwa wapole.
 
Lissu na kamati kuu ya chadema wanaongea lugha tofauti, mmoja wao ajitafakari, nahisi Lissu ndo awapishe wenzie kwa tukio la leo
 
Unampinga mwenye chama chake?
 
Kwa wale wanaojitambua, hata wakiwa CCM, hali ya kisiasa ya nchi yetu haifurahishi. Maslahi marefu ya mwananchi wa kawaida ni kuwepo kwa upinzani wenye nguvu. Waama hivi sasa, nchi ni hatari kuishi kwa Maisha ya binadamu. Wenye nchi wanaweza kuamua lolote na kusiwe na hata wa kulalamika! Raia kwa kweli wamevuliwa nguo. Sijui anayetaka chama kimoja tu Tanzania ana mipango gani kwa Watanzania? Lakini mijitu mbumbumbu, hata wakiwa CCM, wanasherhekea! Ukimwuliza wewe wafaidika nini kwa kukosa uhuru?!!!
 
Mlishindwa kihalali, kwa nini hamjafungua hata kesi moja kama sample kwa haya unayosema.Acheni kujipa matumaini hewa nyie.Viongozi wenu wamekubali kushindwa nyie bado mwaleta ngonjera mfu
 
We endelea kupuyanga. Wananchi wananchi wanahitaji results. Kama serikali Ina deliver miradi ya maendeleo inaonekana, ndicho kinachohitajika Na Tz. Serikali imepiga sana rushwa Na wananchi wanaimani nayo katika hilo, hii inathibitishwa na Transparent International, siyo keyboard worriors wa JF.
Integrity ya Dr Slaa itadumu milele, mlianza kumchafua alipokataa kuwa sehemu ya kumtakatisha fisadi ambaye kina Mbowe walipokea mshiko. Angalau mngesikiliza nasaa zake alipoamua kuondoka CHADEMA isingedondoka kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…