Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa ana Gundu balaa , kakimaliza chama cha mawakili tanganyika sasa ameifuta chadema kwenye ramani za siasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa ana Gundu balaa , kakimaliza chama cha mawakili tanganyika sasa ameifuta chadema kwenye ramani za siasa.
Huitaki tena chadema mkuu?Hilo wazo bora kabsa
Mbowe hafai tena kuwa mwenyekiti wa chadema afukuzwe zake au chadema igawanyike kama TLP au NCCR mageuzi wagawane kuni kila mmoja aende zake wabakie ACT kama chama kikuu cha upinzaniUnawezaje kususia Ubunge wa Viti maalum halafu Hundi za ruzuku kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu una sign kama kawaida?
Mbowe kacheza na akili za makamanda hamnazo
Upinzani wangu utabakia moyoni mwangu tu naendelea kuikataa CCM lakini kama mbowe atakaa kimya bila kutoa tamko lolote lile juu ya ujinga aliofanya rasmi nitaihama chadema kwa kasi kubwa mno.Huitaki tena chadema mkuu?
Unakumbuka watanzania walivyomuacha kwenye mataa,kimambi?,cdm haiwezi kushinda kama wananchi hawajaamuaNdiyo maana sasa idadi ya watanzania wasio na vyama wapagani wa vyama itaongezeka zaidi na zaidi kwani chadema imeharibiwa na njaa ya mbowe kwa ruzuku tu
Hahaa haaa hata ACT Wazalendo wataunga mkono juhudi we subiri mzee usichome kwanza, hawa wanasiasa wa TZ wako kimaslai tu ndio maana mi siwashobokei utaumiza kichwa tuLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Mbuzi jike kaingia gharama kubwa kuwanunua wabunge viti maalum ili kumhadaa Beberu ajue Tanzania kuna demokrasiaMabeberu si watu wazuri,inaonekana wametishia kukaza nati
Unafikiri hajui kinachoendelea wakati ndio mwenye chama?Upinzani wangu utabakia moyoni mwangu tu naendelea kuikataa CCM lakini kama mbowe atakaa kimya bila kutoa tamko lolote lile juu ya ujinga aliofanya rasmi nitaihama chadema kwa kasi kubwa mno
Daah Kama ndo hivo kweli mkuu maana Mimi nauliza kujua Kama kila Jimbo Lina mbunge wake hawa viti maaulumu kazi yao nini na nauliza nijue maana sijui kweliWabunge wa viti maalum ni ufijaji wa pesa za walipa kodi hawafai kuwepo Bungeni ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Wananchi huwachagua chadema kwa kuwa CCM wameichoka pia siyo kwamba CCM hushinda uchaguzi bali CCM huubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani, sasa uchaguzi ujao idadi ya wapiga kura itazidi kushuka kwani wananchi hawaitaki CCM wala chadema kitachofuata ni kukaa majumbani pasipo kupiga kura kisha CCM kuendelea uchakachuaji na kutawala milele miaka 500 ujayoUnakumbuka watanzania walivyomuacha kwenye mataa,kimambi?,cdm haiwezi kushinda kama wananchi hawajaamua
Hawana kazi zaidi ya kwenda kutafuna posho pesa za walipa kodi bure kisha kugonga meza siku zinaenda bora katiba mpya ije ubunge viti maalum ufutwe tujue mojaDaah Kama ndo hivo kweli mkuu maana Mimi nauliza kujua Kama kila Jimbo Lina mbunge wake hawa viti maaulumu kazi yao nini na nauliza nijue maana sijui kweli
Mbowe sasa hafai kuwa mwenyekiti wa chadema tenaNaona mbowe anatamani hata angeweza kubadilisha jinsia ili awe viti maalum
Afukuzwe haraka hafai tenaMbowe asepe TU,atuachie CHAMA chetu......WAPO NA WATAENDELEA KUWEPO WATAKAOTUVUSHA...
WAMETOA JINA LA MNYIKA KUNA MDADA KWENYE LIST ALIKUWA NA JINA LA MNYIKA HAHAHA MA RIBS WASABII BK TO DODOOMAAAAWabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020.
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed
HOTUBA FUPI YA HALIMA MDEE KWA NIABA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA
Mheshimiwa spika, nitazungumza kwa niaba ya wenzangu wote kwa hiyo nitazungumza peke yangu. La kwanza nikushkuru kwa amabo umepelekea kiapo kikafanyika
Pili nikishkuru chama changu cha CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe kwasababu kupitia wao ndio sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu ambacho kwa mujibu wa matakwa ya sheria za nchi kimekidhi vigezo vya kupata viti maalum, kwa hiyo viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ndogo ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata.
Nikuhakikishie mheshimiwa spika na mimi unanifahamu vizuri, tumefanya kazi wote kwa kipindi cha miaka zaidi ya 10, tutafanya kazi kwa uaminifu kama Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na kwa uadilifu mkubwa kwa viwango vilevile ambavyo tumekuwa tukivifanya.
Lakini mwisho lakini sio kwa umuhimu, tuwahakikishie vile vile watumishi wa Bunge, kuna vijana wapya hapa wameingia, sisi kama dada zao tutahakikisha wanafanya kazi bora na nzuri kwa ajili ya Taifa hili.
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana. Baada ya kusema maneno hayo Mh Spika nirudie kukushkuru wewe, katibu wa Bunge na timu yake wewe na nikishkuru chama chetu kwa sababu kupitia
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu ndio tumepata fursa hii ya kuwakilisha watu wengi ambao wana imani na sisi.
SPIKA NDUGAI: Muongezeeni makofi Halima, ningependa kuchukua nafasi hii kuwapongeza wabunge wapya na kwa niaba yenu wote ningeomba tuwapigie makofi.
Kwa mujibu wa ibara ya 78, ibara ndogo ya kwanza ikisomwa na ibara ya 66, ibara ndogo ya 1(B) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Vyama vya siasa vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu na kupata angalau asilimia 5 ya kura zote halali za wabunge vitapendekeza kwa tume ya Taifa ya uchaguzi majina ya wanawake kwa kuzingatia uwiano wa kura ambazo kila chama kimepata katika uchaguzi wa wabunge ili hao waliopendekezwa wawe wabunge wa viti maalum kupitia vyama hivyo.
Tarehe 20 Novemba 2020 nimepokea barua kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi yenye maelezo kuwa imefanya uteuzi wa wabunge wanawake 19 wa viti maalum wa CHADEMA kwa mwaka 2020 ambao ni kama tulivyowaapisha hapa.
Mimi kama spika nawaahidi kuwapa kila aina ya ushirikiano, najua kambi yenu itakuwa ni ya wabunge wachache, wajibu mmojawapo wa spika ni kuwalinda wale walio wachache, nitajitahidi sana kuwalinda, nitajitahidi kuwapa haki, nitajitahidi kuhakikisha kwamba mnatekeleza majukumu yenu kikamilifu katika kuwatetea watanzania, kuwasemea watanzania na kufanya kila lile ambalo linawapasa katika kazi za kibunge ili muweze kufanikisha jukumu hili la kikatiba.
View attachment 1633801
View attachment 1633976
Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) wakiwa na Spika Ndugai
Suala hili lilizungumziwa na mwanaJF hapa > Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na wanawake wa CHADEMA
CHADEMA yakanusha kupeleka majina > John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum, tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua
Utachoka zaidi siku Maalim akitangazwa makamu wa Rais[emoji38]Mbowe hafai tena kuwa mwenyekiti wa chadema afukuzwe zake au chadema igawanyike kama TLP au NCCR mageuzi wagawane kuni kila mmoja aende zake wabakie ACT kama chama kikuu cha upinzani