Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Unawezaje kususia Ubunge wa Viti maalum halafu Hundi za ruzuku kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu una sign kama kawaida?

Mbowe kacheza na akili za makamanda hamnazo
Mbowe hafai tena kuwa mwenyekiti wa chadema afukuzwe zake au chadema igawanyike kama TLP au NCCR mageuzi wagawane kuni kila mmoja aende zake wabakie ACT kama chama kikuu cha upinzani
 
Ndiyo maana sasa idadi ya watanzania wasio na vyama wapagani wa vyama itaongezeka zaidi na zaidi kwani chadema imeharibiwa na njaa ya mbowe kwa ruzuku tu
Unakumbuka watanzania walivyomuacha kwenye mataa,kimambi?,cdm haiwezi kushinda kama wananchi hawajaamua
 
Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Hahaa haaa hata ACT Wazalendo wataunga mkono juhudi we subiri mzee usichome kwanza, hawa wanasiasa wa TZ wako kimaslai tu ndio maana mi siwashobokei utaumiza kichwa tu
 
Mabeberu si watu wazuri,inaonekana wametishia kukaza nati
Mbuzi jike kaingia gharama kubwa kuwanunua wabunge viti maalum ili kumhadaa Beberu ajue Tanzania kuna demokrasia
 
Upinzani wangu utabakia moyoni mwangu tu naendelea kuikataa CCM lakini kama mbowe atakaa kimya bila kutoa tamko lolote lile juu ya ujinga aliofanya rasmi nitaihama chadema kwa kasi kubwa mno
Unafikiri hajui kinachoendelea wakati ndio mwenye chama?
 
Wabunge wa viti maalum ni ufijaji wa pesa za walipa kodi hawafai kuwepo Bungeni ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Daah Kama ndo hivo kweli mkuu maana Mimi nauliza kujua Kama kila Jimbo Lina mbunge wake hawa viti maaulumu kazi yao nini na nauliza nijue maana sijui kweli
 
Unakumbuka watanzania walivyomuacha kwenye mataa,kimambi?,cdm haiwezi kushinda kama wananchi hawajaamua
Wananchi huwachagua chadema kwa kuwa CCM wameichoka pia siyo kwamba CCM hushinda uchaguzi bali CCM huubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani, sasa uchaguzi ujao idadi ya wapiga kura itazidi kushuka kwani wananchi hawaitaki CCM wala chadema kitachofuata ni kukaa majumbani pasipo kupiga kura kisha CCM kuendelea uchakachuaji na kutawala milele miaka 500 ujayo
 
Naona mbowe anatamani hata angeweza kubadilisha jinsia ili awe viti maalum
 
Daah Kama ndo hivo kweli mkuu maana Mimi nauliza kujua Kama kila Jimbo Lina mbunge wake hawa viti maaulumu kazi yao nini na nauliza nijue maana sijui kweli
Hawana kazi zaidi ya kwenda kutafuna posho pesa za walipa kodi bure kisha kugonga meza siku zinaenda bora katiba mpya ije ubunge viti maalum ufutwe tujue moja
 
WAMETOA JINA LA MNYIKA KUNA MDADA KWENYE LIST ALIKUWA NA JINA LA MNYIKA HAHAHA MA RIBS WASABII BK TO DODOOMAAAA

NAMWONAAA MB GWAJIMA ANAVYOMKUMBATIA BI...K...
 
Watanzania mnalaumu bure tu,hawa kina mbowe wamesacrifice vingi mno wamelala lokapu mno,kuna bulaya wamechezea vichapo mno,hakuna aliewaunga mkono,wahenga walisema,you cant beat him,join him,,mbele kwa mbele automatically upinzani utatokea kutoka ndani
 
Mbowe hafai tena kuwa mwenyekiti wa chadema afukuzwe zake au chadema igawanyike kama TLP au NCCR mageuzi wagawane kuni kila mmoja aende zake wabakie ACT kama chama kikuu cha upinzani
Utachoka zaidi siku Maalim akitangazwa makamu wa Rais[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…