Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Upinzani wangu utabakia moyoni mwangu tu naendelea kuikataa CCM lakini kama mbowe atakaa kimya bila kutoa tamko lolote lile juu ya ujinga aliofanya rasmi nitaihama chadema kwa kasi kubwa mno
Kwahiyo huitaki tena chadema?
 
Halima sasa tayari amekuwa mbunge na kaapishwa leo.

Tena amekuwa mbunge aliye chaguliwa na chama chake CHADEMA.

Wakati wa kampeni, mnakumbuka na mimi kampeni yanu kule jimbo la Kawe lililosema. HALIMA MUST GO!

Lakini Halima is a diehard, she wont go!

The lady’s not for turning- kama alivosema The Iron Lady, mama Thatcher, mwaka 1980.

Actually ame rebound back!

Talk of political fortunes!

Halima hana jimbo, kama ilivyokuwa Kawe.

Yuko huru kuandamana sasa kwa ajili ya itikadi ya chama chake.
 
Lisu kaachwa uchi na viongozi wenzie wa chama. Siku mbili hizi alikataa kuwa chama hakiutambui uchaguzi uliyofanyika mwezio uliyopita, leo wabunge wa viti maalum kupitia Chadema wameapishwa.

Na hii inathibitisha kwamba uchaguzi ulikuwa huru na chama kimekubaliana na matokeo ya uchaguzi huo. Pole mropokaji Lisu na swiba wako Amsterdam ambae ndio mshaur mkuu wako kwa sasa
 
Na unaweza kukuta wanna madeni hayo balaaaa jumlisha makondokando yao
Sasa wafanye Nini
Maana na wao so wasafi
Wakaona hapa Bora uunga juhudi tu
 
Sikia yuko kwa Prof Janabi akipatiwa ushauri nasaha. Moyo unadunda kama madhine ya kusha vyuma
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hivi si alikuwepo kwenye viti maalum, wenzake wameondoka haraka haraka wamemsahau
 
Haya sasa, kwa hili kilitokea nadhani tunapata picha halisi ya kuwa CHADEMA ndio mataga, na wala sio CCM😂😂
 
Daaah!! Njaa mbaya.[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]
Siku moja nilitumwa kwenda mahali fulani na wakuu wangu wa kazi (ilikuwa kazi ya utume). Njia ya kwenda huko ilikuwa ya ama kwenda kwa miguu, baiskeli au pikipiki. Sehemu kubwa ya nilikoenda wanyama kutoka hifadhi walikuwa wakipita na hata nilipofika siku hiyo niliambiwa 'tembo wamevamia baadhi ya mashamba ya wanakijiji usiku wa kuamkia leo'.

Hali hii ilinifanya niogope maana wakati wa kwenda au kurudi nilikuwa peke yangu tu na sikukutana na mtu yeyoto. Wanakijiji wakitaka kupita njia hiyo huwa wanajikusanya na walau wanajua muda gani wanyama wanaweza kupita hiyo sehemu kutokana na uzoefu wao wa muda mrefu. Nilifika kama kwenye saa 5 asubuhi hivi na nikaa kidogo na kurudi kwenye kati ya saa 6 na saa 7 mchana maana waliniambia kwenye saa 9 hivi wanyama huwa wanapita maeneo ya hiyo njia. Wakati wa kwenda au kurudi nilikuwa naendesha pikipiki aina ya Honda XL 125 (yenye gia 6) na kama ni kwenye barabara ya lami nilikuwa naweza kwenda kwa spidi ya 130-140. Ila kwa kupita njia niliyoipita kwenda huko nilikoenda spidi ya juu ilikuwa si zaidi ya 10 au si zaidi ya gia ya kwanza maana njia ilikuwa nyembamba na yenye konakona na mawe na majani marefu.

Wakati wa kurudi baada ya kuwa nimesafiri umbali mrefu wa kutosha niliona kwa mbele kama simba amekaa anaangalia upande ninakotokea. Nilisimama na kufikiri nifanyeje maana nilikotoka ni mbali na kama ningerudi ningeweza kukutana na wanyama wengine wakali na sasa mbele yangu kuna simba na nikienda pia nitakuwa kitowewo chake. Baada ya kufikiri kwa muda niliamua kuendelea na safari na nikamwomba Mungu anilinde. Nilipokaribia hilo eneo nikaona kumbe hakuwa simba, isipokuwa kilikuwa kisiki na kwa sababu ilikuwa mchana kivuli cha hicho kisiki + woga niliokuwa nao wa kuweza kukutana na mnyama yoyote mkali ulijenga taswira as if ni simba anayeonekana. Kwa kifupi, ninachotaka kukieleza ni kwamba katika maisha yetu kuna wakati tunakutana na 'moral dilemmas' - yaani aina ya jambo au mambo ambayo uamuzi wake utawapendeza watu fulani na kuwachukiza wengine.

Kwa mfano, kati ya kumwokoa mama na baba unapoweza kumwokoa mmojawapo tu utamwokoa nani na wote wawili wanaomba msaada wako? Nadhani hata Chadema wamejikuta katika situation hiyo - wangeamua kutopeleka majina ya wabunge wa viti maalum bungeni NEC tayari kuna watu walishaanza kusema ni 'ubinafsi wa viongozi wa juu kwa vile hizo nafasi haziwahusu wao' na walipopeleka kuna watu wanasema 'njaa mbaya...kuanzia leo narudisha kadi ya Chadema na kujiunga na ACT-Wazalendo'. Je, ikitokea ukakutana na 'moral dilemma' ni uamuzi gani ukifanya ni sahihi?

Rejea kwenye simulizi langu hapo juu: 'niliamua kuendelea na safari yangu huku nikijua mbele yangu nimemwona simba' na kama kisingekuwa kisiki na angekuwa simba ningekuwa kitowewo chake siku hiyo. Lakini hakuwa simba. Na ningeogopa kuwa kitowewo na kurudi nilikotoka ningejuaje ndiko salama wakati wenyeji walisema kwenye saa 9 wanyama wakali huwa wanapita eneo hilo? Kwa wale ambao ni Wakatoliki, huwa tunafundishwa kuwa ukikabiliwa na jambo tata, then fanya uamuzi kwa kufuata dhamiri yako njema (certain conscience).

Dhamiri njema ni pale jambo unalotaka kulifanya au uamuzi unaotaka kuuchukua kwa muda huo dhamiri yako haikusuti na dhamiri inaweza isikusute wakati tendo lenyewe ni baya, lakini kwako kwa wakati huo unadhani ni jema. Ikitokea hivyo, fanya uamuzi kwa kuzingatia dhamiri yako na ikitokea baada ya huo uamuzi ukagundua kwamba hukupaswa kufanya kama ulivyofanya, then tafuta usahihi au ukweli wa jambo lenyewe ili siku nyingine ukikutana na jambo tata kama hilo basi ufanye uamuzi kwa kigezo au kwa kuzingatia dhamiri sahihi (informed conscience). Je, wewe ukikutana na jambo tata na ukilazimika kufanya uamuzi huwa unatumia kanuni gani?
 
Mbowe asepe TU,atuachie CHAMA chetu......WAPO NA WATAENDELEA KUWEPO WATAKAOTUVUSHA...

Hakuna mtu anaweza kua mpinzani wa ccm, ccm ina mizizi mirefu afrika hii, kuna viongozi wengi sana afrika wapo madarakani kwa sababu ya ccm, Tz ina nafasi yake ya kipekee kwenye siasa za hii afrika na influence! Hakuna multipart tz, staki kuongea sana ila we jua mpaka mbowe ni ccm kuna reason mambo yote haya yanatokea
 
Nenda kaichome TU MKUU....kwani NI yako....ila KWANGU NITABAKI KUWA MWANACHAMA MTIIFU WA CHADEMA,MAANA TOKA BOB MAKANI,MPAKA LEO MNYIKA CDM IKO MOYONI KWANGU....MILIMA NA MABONDE TULOPITIA HILI SI KITU...CDM FOR LIFE

njooni msaidieni mwenzenu uku, hakuna upinzani tz, wote ni ccm, mpinzani wa ccm atatoka ccm kama lowasa alivotoka kwenda upinzani, nje ya hapo we endelea kula maumivi tu, wote mpaka wakina mbowe ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…