Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Aende wapiMbowe sasa hafai kuwa mwenyekiti wa chadema tena
Si ndio mwenye chama [emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende wapiMbowe sasa hafai kuwa mwenyekiti wa chadema tena
Kwahiyo huitaki tena chadema?Upinzani wangu utabakia moyoni mwangu tu naendelea kuikataa CCM lakini kama mbowe atakaa kimya bila kutoa tamko lolote lile juu ya ujinga aliofanya rasmi nitaihama chadema kwa kasi kubwa mno
Hahaaaaaah,eti *****Mamaee Sasa Lissu sijui yuko wapi
Hawa ndio wanawake wa shoka😂 Na mkiwafukuza wanahamia Chama Dola.
Na unaweza kukuta wanna madeni hayo balaaaa jumlisha makondokando yaoWatanzania mnalaumu bure tu,hawa kina mbowe wamesacrifice vingi mno wamelala lokapu mno,kuna bulaya wamechezea vichapo mno,hakuna aliewaunga mkono,wahenga walisema,you cant beat him,join him,,mbele kwa mbele automatically upinzani utatokea kutoka ndani
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hivi si alikuwepo kwenye viti maalum, wenzake wameondoka haraka haraka wamemsahauSikia yuko kwa Prof Janabi akipatiwa ushauri nasaha. Moyo unadunda kama madhine ya kusha vyuma
Jinga kabisa [emoji23]ona hili lingine uku
Mnyika aliomba rais ambaye siyo dhaifu, alipoletewa jiwe akalalamika kuwa hiyo ni rafu. Jiwe aliwahi kumwambia kuwa yeye hajaribiwi! Mnyika akanyamaza kimya!!Mnyika ni dhaifu!
Ulichoandika umekielewa mwenyewe.Halima sasa tayari amekuwa mbunge na kaapishwa leo..
Halima sasa tayari amekuwa mbunge na kaapishwa leo...
Naunga mkono hojaHalima sasa tayari amekuwa mbunge na kaapishwa leo...
Siku moja nilitumwa kwenda mahali fulani na wakuu wangu wa kazi (ilikuwa kazi ya utume). Njia ya kwenda huko ilikuwa ya ama kwenda kwa miguu, baiskeli au pikipiki. Sehemu kubwa ya nilikoenda wanyama kutoka hifadhi walikuwa wakipita na hata nilipofika siku hiyo niliambiwa 'tembo wamevamia baadhi ya mashamba ya wanakijiji usiku wa kuamkia leo'.Daaah!! Njaa mbaya.[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]
Haya sasa, kwa hili kilitokea nadhani tunapata picha halisi ya kuwa CHADEMA ndio mataga, na wala sio CCM😂😂
Mbowe asepe TU,atuachie CHAMA chetu......WAPO NA WATAENDELEA KUWEPO WATAKAOTUVUSHA...
Nenda kaichome TU MKUU....kwani NI yako....ila KWANGU NITABAKI KUWA MWANACHAMA MTIIFU WA CHADEMA,MAANA TOKA BOB MAKANI,MPAKA LEO MNYIKA CDM IKO MOYONI KWANGU....MILIMA NA MABONDE TULOPITIA HILI SI KITU...CDM FOR LIFE
mbavu zanguWalahi, CHADEMA kila kukicha BORA YA JANA. Kaahh...