Mbona Halima hizo ndo zake.Tatizo mmewekeza sana akili yenu katika kuandamana.Kuandamana kunaendana na uharibifu wa mali za watu wengine wasioandamana.Badilikeni watanzania hiyo ni mikakati iliyoletwa na wazungu kutugawa na kueneza chuki.
Halima ameingia kwenye orodha ya kina mama jasiri na wa nguvu kama Mama Samia Saluhu, Ummy Mwalimu, Tulia Ackson and the likes.Alichofanya ni kutanguliza 🇹🇿 kwanzaShikamoo Halima James Mdee.
We Mama ni Bingwa wa Demokrasia na ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi wa Chadema Ambao wamekutukana mtandaoni usiku mzima.
Binafsi nilisikiliza hotuba yako fupi kiukweli ime exhaust kila kitu na ni mfano wa Akina Dada Shupavu in modern times politics.
Nakutakia Majukumu Mema katika nafasi yako ya Ubunge wa JMT.
hivi mna mwanachama asiye shujaa wa CCM?Mdee ni shujaa wa CCM kama alivyo Mashiji na kafulila full stop
hahah leo jinga anakata viuno kumsheherekea Halima Mdee.Ameamua kujisimwmia
Kapuku wa mwisho kabisa huku CDM akijiunga na CCM anakua ni shujaa wa CCM na MATAGA wote mnamsujudia [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]hivi mna mwanachama asiye shujaa wa CCM?
Leo siyo mwanasiasa mpumbavu aliyekwenda kupigana na askari Magereza? CCM mna laana si bure.Shikamoo Halima James Mdee.