Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Tatizo mmewekeza sana akili yenu katika kuandamana.Kuandamana kunaendana na uharibifu wa mali za watu wengine wasioandamana.Badilikeni watanzania hiyo ni mikakati iliyoletwa na wazungu kutugawa na kueneza chuki.
Mbona Halima hizo ndo zake.
Humjui au unamsikiaga tu?
 
Hongera sana kwa wapiganaji wakubwa wa Chadema walioteuliwa kama wabunge wa viti maalum. Nina uhakika vita huwa vinapigana ndani sio nje.

Ni jukumu la viongozi waandamizi wa CHADEMA kuwaunga mkono na kuwapa hawa wabunge ushirikiano katika kuwakilisha kero za wananchi wa sehemu mbalimbali nchini. Kuna furaha kubwa kutoka kwenye majimbo waliogombea hawa wabunge ikibidi wapewa fursa ya kutembelea majimbo mengine ili wakasikilize kero zao.
 
Mtawasifu mpaka ya mwilini kwa mlivyokuwa mna adabu ila wanafukuzwa,tu, kama hawajafukuzwa waChadema tunashusha tanga tunapandisha tanga safari hii ya pori kwa pori inaendelea one day tutatoboa tu.
 
Lenu hilo mnalo mnahangaika nalo, haungwi mtu mkono wala mguu. Unataka viongozi wafurahishe mtu mmoja kwa kuwaudhi wengi ?
 
Shikamoo Halima James Mdee.

We Mama ni Bingwa wa Demokrasia na ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi wa Chadema Ambao wamekutukana mtandaoni usiku mzima.

Binafsi nilisikiliza hotuba yako fupi kiukweli ime exhaust kila kitu na ni mfano wa Akina Dada Shupavu in modern times politics.

Nakutakia Majukumu Mema katika nafasi yako ya Ubunge wa JMT.
Halima ameingia kwenye orodha ya kina mama jasiri na wa nguvu kama Mama Samia Saluhu, Ummy Mwalimu, Tulia Ackson and the likes.Alichofanya ni kutanguliza 🇹🇿 kwanza
 
Kuapa kwa akina Halima Mdee kushiriki vikao vya bunge kunakusudia pia kutuliza hasira za wafadhili kwa serikali yetu sikivu. Nadhani haikuwa rahisi hivyo akina Matiko kwenda Kuapa, maslahi ya nchi yamezingatiwa.

Lakini hata CCM na tume wamejifunza somo hapo.
 
Mbowe yupo busy na maisha yake, Lissu yupo Ubelgiji anakula bata. Yaani Halima Mdee ateswe,ashindwe kusomesha watoto wake kwa ajili ya mtu aliye Ubelgiji.. Halima yupo sahihi watu wanafungwa kina Lissu kazi kuandika mtandaoni kudadeki chama la kipuuzi
 
Hata Lipumba mlianza kumjaza kichwa kama mnavyomjaza Mdee mwisho wake mnaujua.
 
Tayari washaapishwa, hilo jukumu wanaweza kulitekeleza hata bila ya ridhaa ya mtu yeyote wa chama.
kwasasa ni Wabunge halali na washaapishwa, extenal forces za mitandaoni za mashabiki maandazi zisiwafanye washindwe kutimiza majukumu yao.
wachape kazi.
 
Shikamoo Halima James Mdee.

We Mama ni Bingwa wa Demokrasia na ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi wa Chadema Ambao wamekutukana mtandaoni usiku mzima.

Binafsi nilisikiliza hotuba yako fupi kiukweli ime exhaust kila kitu na ni mfano wa Akina Dada Shupavu in modern times politics.

Nakutakia Majukumu Mema katika nafasi yako ya Ubunge wa JMT.
Leo siyo mwanasiasa mpumbavu aliyekwenda kupigana na askari Magereza? CCM mna laana si bure.
 
Sikufurahishwa wapinga maendeleo kuruhusiwa kwenda bungeni
 
Mimi sijafurahishwa na hicho kitendo kwa sababu sina sauti haina namna!
 
Back
Top Bottom