CHADEMA bhana!Maisha yangu na familia yangu nimeshayapambania, wala sina dhiki na sitegemei kupata chochote kutoka kwenye chama chochote! Ningekua selfish kama wewe wala nisingekua mwanachama wa chama chochote maana nina kazi nzuri (Nimeajiriwa na moja kati ya banki kubwa kwa muda wa miaka 16) na nina vibiashara vinavyoniingizia kipato cha kutosha tu. Pamoja na hayo, nimebahatika kua na elimu nzuri tu niliyoipata ndani na nje ya nchi pasipo mkopo wa HESLB.
[emoji38]hao nao kesho maalim seif anaapishwa kama makamu wa kwanza wa rais zanzibar, nakushauri pambania maisha yako na familia yako siasa huijui na huiwezi sana sana utahama vyama mpaka ukome
Sasa wanataka wenzao wasiende wakati wangezipata wao hizo nafasi wasingeziacha.Na wenyewe wangesemwa tu. Hivi unajua maana ya intergrity?
Ukiwa muaminifu huwezi kuwa hivi ktk hili Wanawake wako mstari wa mbele kusaliti.Hizo nafasi zingekuwa za kina mbowe na Zitto, utadhani wangeziacha?
Kidole kimoja hakiui chawaHata bila chama ninaweza kuendelea kuwa mpinzani bila pressure yoyote.
Wametukera sana sisi wengineSasa wanataka wenzao wasiende wakati wangezipata wao hizo nafasi wasingeziacha.
Unafiki mtupu umewajaaJana walikuwa maadui leo wanaitwa vyama rafiki. Hakika ngozi nyeusi iliumbwa gizani
TULISEMA tutakuwa wenyewe BUNGE lijalo yametushinda sasa tunahangaika kutumia GHARAMA kubwa na AHADI za VYEO kupata KAMBI ya UPINZANI BUNGENI Tun
Endeleeni kupambana makamanda, sisi tupo huku ulaya kupigania haki...ππyaani nyie mkimbilie ulaya na watoto wenu kwenye maisha mazuri,halafu sisi mtukataze tusifanye kazi tuteseke na watoto wetu tufe njaa??hata ungekuwa wewe ungekwenda bungeni
Kaa hapo hapo.Mbona nimeona Mnyika anasema hajapeleka majina.
Duh...aisee...inaelekea una vimelea vya ugaidi wewe...matibabu ni muhimu kwako...pengine nikiuliza swali: je ukimuona chatu anajiandaa kummeza mwanaCCM je utamsaidia mwanaCCM huyo?!?Ni afadhali niuliwe kwa kuchemshwa kwenye pipa la lami kuliko kujiunga na hao mashetani, si tu kua naichukia CCM lakini nawachukia na wanaCCM with passion.
Mtawafukuza saa ngapi?! Inaelekea CHADEMA imebaki mitandaoni tu hasa humu JF ....yaani CHADEMA wa mitandaoni ni shida kwa kweli.Mtawasifu mpaka ya mwilini kwa mlivyokuwa mna adabu ila wanafukuzwa,tu, kama hawajafukuzwa waChadema tunashusha tanga tunapandisha tanga safari hii ya pori kwa pori inaendelea one day tutatoboa tu.
Unachekesha sana, hawa wanawake wamechoka ule utaratibu wa mpaka ufunuliwe ndo upewe ubunge wameamua kugawana wenyewe.TULISEMA tutakuwa wenyewe BUNGE lijalo yametushinda sasa tunahangaika kutumia GHARAMA kubwa na AHADI za VYEO kupata KAMBI ya UPINZANI BUNGENI Tunaogopa NINI?