Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Maisha yangu na familia yangu nimeshayapambania, wala sina dhiki na sitegemei kupata chochote kutoka kwenye chama chochote! Ningekua selfish kama wewe wala nisingekua mwanachama wa chama chochote maana nina kazi nzuri (Nimeajiriwa na moja kati ya banki kubwa kwa muda wa miaka 16) na nina vibiashara vinavyoniingizia kipato cha kutosha tu. Pamoja na hayo, nimebahatika kua na elimu nzuri tu niliyoipata ndani na nje ya nchi pasipo mkopo wa HESLB.
CHADEMA bhana!
 
Mnyika kwa sasa kakalia kutikavu kwa kujaribu kupindua mipango ya Mbowe. Mbowe ndio mwenyekiti na ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndani ya chama. Kitendo cha Mnyika kujaribu kupingana nae ni sawa na mbuzi kujaribu kupambana na ng'ombe
 
TULISEMA tutakuwa wenyewe BUNGE lijalo yametushinda sasa tunahangaika kutumia GHARAMA kubwa na AHADI za VYEO kupata KAMBI ya UPINZANI BUNGENI Tunaogopa NINI?
 
Hiyo ndo sisi wana wa Africa tunasema adui muombee njaa, hakika nawaambieni hakuna mwanasiasa atakaeiona pepo maneno yooote hamna kitu (hapo tumeona tofauti ya mwanaume na mwanamume).
 
Jana walikuwa maadui leo wanaitwa vyama rafiki. Hakika ngozi nyeusi iliumbwa gizani
 
Inaonesha hawana mpango madhibiti wa kupata wabunge wa viti maalumu bali hupeana tu kulingana na wanaoona wawape

Ukienda kwa CCM wana mpango madhubuti wa viti maalumu. Wabunge wote huchaguliwa kwa asilimia endapo asilimia fulani ikapatikana ndo wao pia watapita au watakataliwa

Nafurahia karudi bungeni ila hiyo haifichi uhalisi kuwa CHADEMA hawana Demokrasia kama wanavyojinadi
 
Mpaka wamelazimika kufuta mashataka dhidi ya Henje na kuizika kabisa kesi uchwara iliyomuweka gerezani kwa zaidi ya miezi minne!
Hayo yote ni ili akaape na kuwa mbunge!

😁😁😁,fedha za mabeberu ni tamu na tunazihitaji sana!
 
yaani nyie mkimbilie ulaya na watoto wenu kwenye maisha mazuri,halafu sisi mtukataze tusifanye kazi tuteseke na watoto wetu tufe njaa??hata ungekuwa wewe ungekwenda bungeni
Endeleeni kupambana makamanda, sisi tupo huku ulaya kupigania haki...😂😂
 
Ni afadhali niuliwe kwa kuchemshwa kwenye pipa la lami kuliko kujiunga na hao mashetani, si tu kua naichukia CCM lakini nawachukia na wanaCCM with passion.
Duh...aisee...inaelekea una vimelea vya ugaidi wewe...matibabu ni muhimu kwako...pengine nikiuliza swali: je ukimuona chatu anajiandaa kummeza mwanaCCM je utamsaidia mwanaCCM huyo?!?
 
Mtawasifu mpaka ya mwilini kwa mlivyokuwa mna adabu ila wanafukuzwa,tu, kama hawajafukuzwa waChadema tunashusha tanga tunapandisha tanga safari hii ya pori kwa pori inaendelea one day tutatoboa tu.
Mtawafukuza saa ngapi?! Inaelekea CHADEMA imebaki mitandaoni tu hasa humu JF ....yaani CHADEMA wa mitandaoni ni shida kwa kweli.

Yaani wanajificha kwenye keyboard lakini hawako huko uwanjani au kwenye field kutathmini Hali halisi...ni mtu mjinga na mpumbavu tu ataacha sh. Milioni tano kwa mwezi za bungeni na marupurupu kibao baada ya miaka mitano eti aunge mkono kile kinachoitwa msimamo wa chama...duh...hao akina Mdee ni wajanja na werevu.

Nina hakika uongozi wa juu wa CHADEMA umewaruhusu waende bungeni...nyie watu wa mitandaoni mnapiga kelele za bure tu..
 
TULISEMA tutakuwa wenyewe BUNGE lijalo yametushinda sasa tunahangaika kutumia GHARAMA kubwa na AHADI za VYEO kupata KAMBI ya UPINZANI BUNGENI Tunaogopa NINI?
Unachekesha sana, hawa wanawake wamechoka ule utaratibu wa mpaka ufunuliwe ndo upewe ubunge wameamua kugawana wenyewe.
 
Naona chamani hali imekuwa tete. Leo watu 19 ambao wanachama wao walikuwa wana waamini kuwa ni WAPAMBANAJI, MAKAMANDA na WAPENDA DEMOKRASIA tunaambiwa ni WASALITI.

Tunaambiwa WAMENUNULIWA, na kuwa chama bado kipo ngangari maana kina vichwa vingine vingi tu ambao ni MAKAMANDA WA KWELI.

SWALI, JE NAFASI ZA VITI MAALAMU VINGEKUWA ZAIDI YA 19, ANGEBAKI MTU MULE???
 
Back
Top Bottom