CHADEMA bhana!Maisha yangu na familia yangu nimeshayapambania, wala sina dhiki na sitegemei kupata chochote kutoka kwenye chama chochote! Ningekua selfish kama wewe wala nisingekua mwanachama wa chama chochote maana nina kazi nzuri (Nimeajiriwa na moja kati ya banki kubwa kwa muda wa miaka 16) na nina vibiashara vinavyoniingizia kipato cha kutosha tu. Pamoja na hayo, nimebahatika kua na elimu nzuri tu niliyoipata ndani na nje ya nchi pasipo mkopo wa HESLB.