Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Naona chamani hali imekuwa tete. Leo watu 19 ambao wanachama wao walikuwa wana waamini kuwa ni WAPAMBANAJI, MAKAMANDA na WAPENDA DEMOKRASIA tunaambiwa ni WASALITI...
Uliza hivi je nafasi za viti maalum zingekuwa zinaenda na wanaume je wasingekwenda?
 
Napenda kuwapongeza Wabunge wa viti maalum wa CHADEMA hakika hawajapewa hisani bali ni ushindi wa asilimia 10 ,drmokrasia oyeeeee ,Tanzania oyeeee
 
Sawa binti, nitaendelea tu kuhesabia watu hela zao maana kwako wewe benki ni kuhesabu hela tu! Angalao mimi nilikua na ujasiri wa kua mwanachama hai wa CHADEMA mpaka jana

Nitamsaidia Chatu na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kummeza huyo mwana CCM!
 
Kwani Lowassa kafanya/alifanya kosa gani dhidi ya chadema hadi umlinganishe na hawa wanawake wa sasa hivi ambao wamevunja makubaliano ya kamati kuu ya chama?
Ilikuwa sawa kumchukua na kumsafisha?
Kama jibu ni Ndiyo basi hata hawa wapo sawa tu.

Utajua hujui[emoji38][emoji38]
 
Unapomaliza siku na kuanza kurejea nyumbani taratiiiiibu..... wapinzani wamekaa kaa wamekaa kaa
Wapinzani watetereke sana
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
namuona kamanda Mdee, Matiko, Bulaya safi sana huo ndio uzalendo wa kweli. Hongereni sana sasa kachapeni kazi kuwaletea maendeleo wananchi
 
kati ya Novemba 8 na Novemba 24 kuna mengi yametokea, Kuchukua yale yaliyosemwa na mnyika Nov 8 yakafanywa ni ya Nov 24 si sahihi. Tusubiri press yake
 
Hiyo ndo sisi wana wa Africa tunasema adui muombee njaa, hakika nawaambieni hakuna mwanasiasa atakaeiona pepo maneno yooote hamna kitu (hapo tumeona tofauti ya mwanaume na mwanamume).
Hata mtakatifu Nyerere?
 
Mmoja kasema watu wakiteseka kutokana na vikwazo watailaumu CCM. Ninachojiuliza ni je, hawa watu hawaoni nani anaitisha hivyo vikwazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…