Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Nenda kadai hiyo haki
Sisi tunachapa kazi,na wenzenu kina mdee Wanaenda kuchapa kazi.
Mungu hawezi kubariki kazi ambazo zimetokana na kulawiti uchaguzi.Hizo ni kazi fake.Ni heri mkajikita katika kutoa haki kwanza badala ya kujikita katika kuchapa kazi fake.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
namuona kamanda Mdee, Matiko, Bulaya safi sana huo ndio uzalendo wa kweli. Hongereni sana sasa kachapeni kazi kuwaletea maendeleo wananchi
wakawatumikie wananchi wepi. Wakati wananchi hao waliwakataa kwenye sanduku LA kura kwa mujibu wa mahera na NEC.?
 
Mungu hawezi kubariki kazi ambazo zimetokana na kulawiti uchaguzi.Hizo ni kazi fake.Ni heri mkajikita katika kutoa haki kwanza badala ya kujikita katika kuchapa kazi fake.
Haki utaikuta mbinguni..
Ondoeni kwanza boriti zenu,Mungu huyohuyo unayemtaja huwa anahitaji mtu mwenye nia..anaangalia moyo..Sasa akiwaona nyie mmejaza njaa tu genge la wahuni[emoji23]

CCM haiwezi tolewa madarakani na genge la wahuni.

Endelea kudai hiyo haki,usiishie kupiga porojo nyuma ya keyboard.
 
Kuna genge la wahuni zaidi ya waliolawiti uchaguzi?
 
Genge namba moja ni la kwenu na Mbowe
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Na wewe leo unaikana chadema?[emoji23][emoji23][emoji23]
Makubwa haya[emoji1787]
 
Kama alishurtishwa angeripoti kwenye mamlaka husika basi

Mkuu.
Haitakuwa mara ya kwanza kwa wafanyabiashara wakubwa kama Mo kufanyiwa hivyo na wanasiasa na nadhani wanajua futility ya kuripoti mambo kama hayo.

Njia sahihi ni kukaushia tu kama alivyofanya sema labda akapoteza uvumilivu alipoanza kuchokonelewa na mambo ya Simba.
 
It is fair, Chadema inakufa kifo cha mende kwa sababu mwenyekiti wake ameongoza chama hiki kama mali binafsi. Angalia mlolongo wa viongozi waliopita katika wakati wake.

Majeruhi wa mwisho akiwa waziri mkuu mstaafu Sumaye. Mbowe ni bogus flani hivi ambaye anaangalia maslahi yake binafsi, hongera sana waziri mkuu chini ya uongozi wa kibaraka juha TAL.
 
CCM imefanya haramu ya kulawiti uchaguzi mchana kweupe ndiyo maana nawaita kuwa ni wahuni,hao akina Mbowe wamefanya haramu ipi kwa umma hata uwaite wahuni?
🤔 yaan umeambiwa ukitumia maneno makali kama "kulawiti uchaguzi" ndio watu tutaona umeleta point nzito, wahun wahiv wakishindwa hapa watatafuta tusi lingine zaidi ya kulawiti kuliongezea kwenye hoja zao😂😂 akili mbovu zisizojielewa huwa zinajionyesha tu😏
 
Back
Top Bottom