Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Kwanini CCM mnafurahia wapinzani(wachelewesha maendeleo) kuingia bungeni?
Kinachofurahiwa hapa sio wao kwenda bungeni, ni jinsi wao kwa wao wanavozozana na kutokua na misimamo kati yao, hapa ndo utaona jinsi gani Upinzani nchini unayumba kwa style kama hii, jana tuu wametoka kusema hawakubaliani na matokeo na hawatopeleka majina bungeni leo kiko wapi?
 
Aroo....corona vipi hapo?

Hakuna hata mmoja wao aliyevaa barakoa.

Wameshikana mikono na spika ambaye naye hana barakoa.

Hakuna social distancing. Wote wamekaa pamoja kwa kurundikana.

Funny though, haya mambo yanaendelea toka mwezi wa 5-6 na hakuna wagonjwa wengi kuliko ilivyo kawaida.

Where that Rona at?
 
Hivi kweli hawa Chadema wameshindwa kuvumilia kwa miaka 5 tu ..... Kwa mtindo huu kitachofanyika 2025 itakuwa zaidi ya sasa.
UTAJUA WANASIASA WALIVYO NA NJAA.....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…