Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mungu hawezi kubariki kazi ambazo zimetokana na kulawiti uchaguzi.Hizo ni kazi fake.Ni heri mkajikita katika kutoa haki kwanza badala ya kujikita katika kuchapa kazi fake.Nenda kadai hiyo haki
Sisi tunachapa kazi,na wenzenu kina mdee Wanaenda kuchapa kazi.
wakawatumikie wananchi wepi. Wakati wananchi hao waliwakataa kwenye sanduku LA kura kwa mujibu wa mahera na NEC.?[emoji122][emoji122][emoji122]
namuona kamanda Mdee, Matiko, Bulaya safi sana huo ndio uzalendo wa kweli. Hongereni sana sasa kachapeni kazi kuwaletea maendeleo wananchi
Haki utaikuta mbinguni..Mungu hawezi kubariki kazi ambazo zimetokana na kulawiti uchaguzi.Hizo ni kazi fake.Ni heri mkajikita katika kutoa haki kwanza badala ya kujikita katika kuchapa kazi fake.
Kuna genge la wahuni zaidi ya waliolawiti uchaguzi?Haki utaikuta mbinguni..
Ondoeni kwanza boriti zenu,Mungu huyohuyo unayemtaja huwa anahitaji mtu mwenye nia..anaangalia moyo..Sasa akiwaona nyie mmejaza njaa tu genge la wahuni[emoji23]
CCM haiwezi tolewa madarakani na genge la wahuni.
Endelea kudai hiyo haki,usiishie kupiga porojo nyuma ya keyboard.
Genge namba moja ni la kwenu na MboweKuna genge la wahuni zaidi ya waliolawiti uchaguzi?
CCM imefanya haramu ya kulawiti uchaguzi mchana kweupe ndiyo maana nawaita kuwa ni wahuni,hao akina Mbowe wamefanya haramu ipi kwa umma hata uwaite wahuni?Genge namba moja ni la kwenu na Mbowe
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyeweGenge namba moja ni la kwenu na Mbowe
Na wewe leo unaikana chadema?[emoji23][emoji23][emoji23]Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe
Acheni upumbavu bwana.
Acha kuwashwa washwa, wapi nimeitaja Chadema hapo.Na wewe leo unaikana chadema?[emoji23][emoji23][emoji23]
Makubwa haya[emoji1787]
Nenda kapiganeAcha kuwashwa washwa, wapi nimeitaja Chadema hapo.
Huo ndio upumbavu wenyewe tunaoukataa.
Kama alishurtishwa angeripoti kwenye mamlaka husika basi
We Uliwahi kuona wapi.....???WATU BWANA WALIPOGOMA KWENDA WAKAWA WANALALAMIKA WAENDE
WAMEENDA HAO HAO WANALALAMIKA TENA
NDIO ANASEMAGA BWEGE
UNA NJAAAA ----EEEH
UMESHIBA -----EEEH
This country bwana..........!!!Hapa kuna mkwanja utakuwa umetoka sio bure
Tulia wewe pisi mbovu, huna hojaNenda kapigane
Zwazwa wewe
Acha shobo punga weweTulia wewe pisi mbovu, huna hoja
Sawa pisi mbovu umesikikaAcha shobo punga wewe
Wewe,Acha shobo punga wewe
🤔 yaan umeambiwa ukitumia maneno makali kama "kulawiti uchaguzi" ndio watu tutaona umeleta point nzito, wahun wahiv wakishindwa hapa watatafuta tusi lingine zaidi ya kulawiti kuliongezea kwenye hoja zao😂😂 akili mbovu zisizojielewa huwa zinajionyesha tu😏CCM imefanya haramu ya kulawiti uchaguzi mchana kweupe ndiyo maana nawaita kuwa ni wahuni,hao akina Mbowe wamefanya haramu ipi kwa umma hata uwaite wahuni?