Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Dawa ni kufukuzwa kwenye chama. Over
 
Piga chini hao wanawake wakapangiwe kazi zingine na wanaume zao:
Demn Shit!
 
Mawazo yakijinga sana haya
 
Kwa hyo na mbowe katishwa?
Maana nae anatajwa kutoa baraka
 
Hahaha hakuna visingizio, ushujaa ni kuishinda njaa.

Huwezi kula hadharani halafu ukasema umefunga kwasababu ni mwezi mtukufu.
 
Hongera Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…