Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Namuona dada yangu NUSRAT HANJE....

Maisha ni safari....

Kalala na KUNGUNI kwa miezi 3 baadae huyooo MBUNGE...

Naam KESHO HAIJULIKANI jama.....

Naaam HAIJULIKANI...usishangae SEIF SHARIFF HAMAD ni MAKAMU WA RAIS....na Jussa WAZIRI WA AFYA....
kweli baada ya dhiki....faraja... act hawawezi kuacha nafasi ya kushiriki kwenye serikali, ni suala la muda tu.
 
Chadema bado wako kwenye usingizi wa pono [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Namuona dada yangu NUSRAT HANJE....

Maisha ni safari....

Kalala na KUNGUNI kwa miezi 3 baadae huyooo MBUNGE...

Naam KESHO HAIJULIKANI jama.....

Naaam HAIJULIKANI...usishangae SEIF SHARIFF HAMAD ni MAKAMU WA RAIS....na Jussa WAZIRI WA AFYA....
Kuna kitu hapa ndio masna jana Nusrat na Wengine waliachiwa usiku...
 
CHADEMA wahuni Kama wahuni wengine kabisaa
 
Nashauri Mbowe amtimue Lissu kwenye nafasi ya M/K ili akisuke chama upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…