Hawaelewiki kabisa wanataka nini [emoji3][emoji3][emoji3]Hahahhaha...
Siasa ya chadema ni pasua kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaelewiki kabisa wanataka nini [emoji3][emoji3][emoji3]Hahahhaha...
Siasa ya chadema ni pasua kichwa
KUNA NJAA YA TUMBONI NA NJAA YA KICHWANI............Kuna mtu hana njaa?
Kama shabiby na abood wana njaa wewe nani usiwe na njaa?
Mkuu tutafute pesa, maendeleo ya kweli yanaletwa na wewe mwenyewe na si vinginevyo,Kwa hiyo mdee na bulaya wameendaje bila katibu kupeleka majina? Nyie eatu mtaongopewa hadi lini?? Mnyika anajua anachofanya na hao kina mdee
kweli baada ya dhiki....faraja... act hawawezi kuacha nafasi ya kushiriki kwenye serikali, ni suala la muda tu.Namuona dada yangu NUSRAT HANJE....
Maisha ni safari....
Kalala na KUNGUNI kwa miezi 3 baadae huyooo MBUNGE...
Naam KESHO HAIJULIKANI jama.....
Naaam HAIJULIKANI...usishangae SEIF SHARIFF HAMAD ni MAKAMU WA RAIS....na Jussa WAZIRI WA AFYA....
Bila Baraka za chama unapokelewaje bungeni, kila mtu angekua anaenda na kusema Mimi mbunge viti maalum kutoka chama fulani,hawananbaraka za chama acha kuzusha
Wala, nawacheka rafiki zangu kina Behaviourist na misimamo yao hafifuCCM leo mmefurahi kuliko mlivyofurahi kushindishwa ushindi wa kishindo!
Mkuu sijui namana ya kumtag mtu hebu nielekezewatag kabisa
Chadema bado wako kwenye usingizi wa pono [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aroo....corona vipi hapo?
Hakuna hata mmoja wao aliyevaa barakoa.
Wameshikana mikono na spika ambaye naye hana barakoa.
Hakuna social distancing. Wote wamekaa pamoja kwa kurundikana.
Funny though, haya mambo yanaendelea toka mwezi wa 5-6 na hakuna wagonjwa wengi kuliko ilivyo kawaida.
Where that Rona at?
Kwa hiyo clip iliyopo hapa kama ni fake basi watu ni wataalamu kwelikweli.Hii habari ni uzushi. Ila kwa upande wangu hakuna sababu itayonifanya nijiunge na CCM kwa ridhaa yangu
Kuna kitu hapa ndio masna jana Nusrat na Wengine waliachiwa usiku...Namuona dada yangu NUSRAT HANJE....
Maisha ni safari....
Kalala na KUNGUNI kwa miezi 3 baadae huyooo MBUNGE...
Naam KESHO HAIJULIKANI jama.....
Naaam HAIJULIKANI...usishangae SEIF SHARIFF HAMAD ni MAKAMU WA RAIS....na Jussa WAZIRI WA AFYA....
Ila mimi nmefurahi.wala usiwe na hofu sjaiona apa for the first time source zingine hizi apa
Leo mimi nachoma makombati yangu na kadi nahamia CCM. Kumbe tunakosa fursa kijinga sana.Leo naenda kuchoma kadi yangu ya Chadema na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
CHADEMA wahuni Kama wahuni wengine kabisaaKinachofurahiwa hapa sio wao kwenda bungeni, ni jinsi wao kwa wao wanavozozana na kutokua na misimamo kati yao, hapa ndo utaona jinsi gani Upinzani nchini unayumba kwa style kama hii, jana tuu wametoka kusema hawakubaliani na matokeo na hawatopeleka majina bungeni leo kiko wapi?
Bado Maalim Seif.
Nashauri Mbowe amtimue Lissu kwenye nafasi ya M/K ili akisuke chama upya.Aroo....corona vipi hapo?
Hakuna hata mmoja wao aliyevaa barakoa.
Wameshikana mikono na spika ambaye naye hana barakoa.
Hakuna social distancing. Wote wamekaa pamoja kwa kurundikana.
Funny though, haya mambo yanaendelea toka mwezi wa 5-6 na hakuna wagonjwa wengi kuliko ilivyo kawaida.
Where that Rona at?
Ni usaliti huuuWabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Subiri picha ya pamoja Mdee na gwaji boy wanatabasamuMdee tunakutegemea sana na team yako kuchangamsha bunge, sasa ni jino kwa jino na gwaji.
Hahahahha... Wazee wa ICC mko wapi?