Wakina Erythrocyte YEHODAYA Mmawia wanaharisha mfululizo sasahivi.
OKW BOBAN SUNZU Bujibuji na Mshana Jr watafutieni dawa ya kuzuia kuharisha mfululizo ndugu zenu,wanahali mbaya.
Watumie akili zao na pia waheshimu chama na sio mawazo yao.you just took my words. Yani inakuwa ngumu hata wafuasi kujua waamini nini.
Mkuu futa hiyoo avatar yako inakuchushaaa
Mimi nipo huku mkuuWakina Erythrocyte YEHODAYA Mmawia wanaharisha mfululizo sasahivi.
OKW BOBAN SUNZU Bujibuji na Mshana Jr watafutieni dawa ya kuzuia kuharisha mfululizo ndugu zenu,wanahali mbaya.
Mtafute na Lord denning ili ampashe habari amstadam🤣🤣🤣🤣Hahahhaha...
Mimi hapa namtafuta tindo na yule mzee wa icc ndugu lord dening
hawananbaraka za chama acha kuzusha
Utakuwa unefanya nn sasa umechomoa mbele ukachomeka nyumaLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Umemsahau tindo na lord dening. Mshana jr toka matokeo yatoka hajawahi kuonekana akikoment humu jfWakina Erythrocyte YEHODAYA Mmawia wanaharisha mfululizo sasahivi.
OKW BOBAN SUNZU Bujibuji na Mshana Jr watafutieni dawa ya kuzuia kuharisha mfululizo ndugu zenu,wanahali mbaya.
Kama hakuna upendo peneza sitaunga mkono CHADEMAWabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Wabunge wa viti Maalum CHADEMA wanaoapishwa ni:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendeka
3. Ester Bulaya,
4. Kunti Yusuf
5. Salome Makamba
6. Anatropia Theonest
7. Hawa Mwaifunga
8. Tunza Malapo
9. Nusrat Hanje
10. Agnesta Lambat
11. Sophia Mwakagenda
12. Cecilia Pareso
13. Jesca Kishoa
14. Ester Bulaya
15. Naghenjwa Kaboyoka
HahahhahaMtafute na Lord denning ili ampashe habari amstadam[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado unaishi jana wakati wenzio wapo kesho?mimi nipo huku mkuu
Uchaguzi 2020 - John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...www.jamiiforums.com
Kwa mfano Bawacha mmoja wa viti maalum akipewa hata kaunaibu waziri kamoja kawizara, si mabeberu wataamini kabisa uchaguzi ulikuwa huru na wahaki?Yule kashalegea mbona,
hii option yake ilikua rahisi tuu, over 4.5 mapema tuu ilishaonekana CHADEMA wanajifunga goli za kutosha wenyewe.Wazeee wa kubeti hii option inaitwaje ?
ACT wanachukua umakamu wa rais kule ZanzibarLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Mambo ni motoNasubiria uongozi wa chadema uthibitishe.
Kaa hukohuko, inaonekana huna uwezo wa kutumia akiri yako mwenyewe unatumia akiri za watu wengine hivyo hufai hata kubkaribishwa,Kama ni kweli mimi nitajiunga ccm kabisa!
Kina jingalao johnthebaptist Jane Lowassa Bia yetu mama D na wengineo naombeni mnipokee
[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]hii option yake ilikua rahisi tuu, over 4.5 mapema tuu ilishaonekana CHADEMA wanajifunga goli za kutosha wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu!Kwa mfano Bawacha mmoja wa viti maalum akipewa hata kaunaibu waziri kamoja kawizara,si mabeberu wataamini kabisa uchaguzi ulikuwa huru na wahaki?
ndomaana JPM akasubiri kwanza kuteuwa baraza la mawaziri,uwenda kuna kakitu kadogo anataka kufanya suprise.
hii inaitwa hakuna mkate mgumu kwenye chai