Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Mkuu futa hiyoo avatar yako inakuchushaaa
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
Wakina Erythrocyte YEHODAYA Mmawia wanaharisha mfululizo sasahivi.
OKW BOBAN SUNZU Bujibuji na Mshana Jr watafutieni dawa ya kuzuia kuharisha mfululizo ndugu zenu,wanahali mbaya.
Mimi nipo huku mkuu
 
Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.

Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA

Wabunge wa viti Maalum CHADEMA wanaoapishwa ni:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendeka
3. Ester Bulaya,
4. Kunti Yusuf
5. Salome Makamba
6. Anatropia Theonest
7. Hawa Mwaifunga
8. Tunza Malapo
9. Nusrat Hanje
10. Agnesta Lambat
11. Sophia Mwakagenda
12. Cecilia Pareso
13. Jesca Kishoa
14. Ester Bulaya
15. Naghenjwa Kaboyoka

Kama hakuna upendo peneza sitaunga mkono CHADEMA
 
mimi nipo huku mkuu
Bado unaishi jana wakati wenzio wapo kesho?
 
Yule kashalegea mbona,
Kwa mfano Bawacha mmoja wa viti maalum akipewa hata kaunaibu waziri kamoja kawizara, si mabeberu wataamini kabisa uchaguzi ulikuwa huru na wahaki?


ndomaana JPM akasubiri kwanza kuteuwa baraza la mawaziri, huwenda kuna kakitu kadogo anataka kufanya suprise.
 
😁😁😁. Win-win!
Tulikuwa tunasema humu watu waweke akiba ya maneno.

Maalim na wenzake kule Zanzibar watakubali tu. Kila mtu anahitaji watoto wake wale na wasome

Sasa sijui ile press conference ya Zitto na Lissu hawakuwa wamecommunicate na wenzao? Taabu kweli!
 
Kwa mfano Bawacha mmoja wa viti maalum akipewa hata kaunaibu waziri kamoja kawizara,si mabeberu wataamini kabisa uchaguzi ulikuwa huru na wahaki?


ndomaana JPM akasubiri kwanza kuteuwa baraza la mawaziri,uwenda kuna kakitu kadogo anataka kufanya suprise.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu!

Mimi nasubiri hata Mbowe ateuliwe ubunge aende bungeni tujenge nchi, haya mambo mengine ya kutuletea mbelgiji tutamsamehe.
 
Back
Top Bottom