Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kwani wapo CCM?Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wapo CCM?Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo?
halafu? jitahidi unaweza piga hela kama CDMShubaamiti zenu WanaUfipa nilikuwa nawasapoti kumbe wote ni wachumia matumbo mavi mavi.
Kwa hasira naenda UDOM kuchukua degree in Political science and leadership.Nikirudi huko taanzisha chama langu.[emoji57][emoji19]
Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo? 🤔Kaa hukohuko, inaonekana huna uwezo wa kutumia akiri yako mwenyewe unatumia akiri za watu wengine hivyo hufai hata kubkaribishwa,
Ipo siku utahama tena bila kuwaza kwa kutumia akiri yako.

Fikra mfilisi hizi. Am happy, hizi ndizo siasa sasa. CC Sky EclatCHADEMA hawana tofauti na CCM kwa sasa, wote wachumia tumbo tu!
[emoji2][emoji2] umenifanya nichekeKwakwakwakwakwakwakwa! Jamani mbavu zangu, jamani mbavu zangu, jamani mbavu zangu ehehehehehehe!
Mimi pia ndugu,sitaki tena siasa.ngoja nihamie jukwaa LA mapenzi tu.dahhhLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Good opinion.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu!
Mimi nasubiri hata Mbowe ateuliwe ubunge aende bungeni tujenge nchi, haya mambo mengine ya kutuletea mbelgiji tutamsamehe.
Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo? 🤔Kaa hukohuko, inaonekana huna uwezo wa kutumia akiri yako mwenyewe unatumia akiri za watu wengine hivyo hufai hata kubkaribishwa,
Ipo siku utahama tena bila kuwaza kwa kutumia akiri yako.
Mboye kauza chama kwa CCM njaa zimemkolea kaona atakosa ruzuku kaamua kuweka njaa mbele zaidiHakuna siasa Tanzania......
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
Katakuwa kamesimamia msimamo wake, simuoni kwenye listKale ka Hilda Newton sijui kana maoni gani sasa
Mkuu wenye misimamo hapa jf ambao ni mashabiki wa chadema ni wewe na idawa basi.Kuna watu wataanza kutuelewa wengine kidogo kidogo.
Njaa mbaya sanaHao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo? 🤔
Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo? 🤔Kaa hukohuko, inaonekana huna uwezo wa kutumia akiri yako mwenyewe unatumia akiri za watu wengine hivyo hufai hata kubkaribishwa,
Ipo siku utahama tena bila kuwaza kwa kutumia akiri yako.
Kajinga kaache kaendelee kumuiga kigogo na sarungi wakati wenzie wanalipwa huku yeye akiwa na njaaKatakuwa kamesimamia msimamo wake, simuoni kwenye list
Wewe pita kushoto[emoji23]Dada rekebisha habari yako.Chadema hawajapeleka majina ya viti maalum bungeni!