Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Shubaamiti zenu WanaUfipa nilikuwa nawasapoti kumbe wote ni wachumia matumbo mavi mavi.
Kwa hasira naenda UDOM kuchukua degree in Political science and leadership.Nikirudi huko taanzisha chama langu.[emoji57][emoji19]
halafu? jitahidi unaweza piga hela kama CDM
 
Kaa hukohuko, inaonekana huna uwezo wa kutumia akiri yako mwenyewe unatumia akiri za watu wengine hivyo hufai hata kubkaribishwa,
Ipo siku utahama tena bila kuwaza kwa kutumia akiri yako.
Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo? 🤔
 
Kuna mtuu huku kipindi hii issue imekuwa kubwa sn aliiandika na nukuu ""Siasa ni mchezo mchafu sna na tusiwaamini wanasiasa usishangae hawa hawa kina Mdee Matiko Bulaya kuwa mstari wa mbele kwenda kuapishwa bungeni watu walimtukana Sana ila leo yametimia Tanzania hakuna upinzan upinzan uliopo huku Ni wa kuchumia tumbo from now mm Ni CCM
 
Kaa hukohuko, inaonekana huna uwezo wa kutumia akiri yako mwenyewe unatumia akiri za watu wengine hivyo hufai hata kubkaribishwa,
Ipo siku utahama tena bila kuwaza kwa kutumia akiri yako.
Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo? 🤔
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu!

Mimi nasubiri hata Mbowe ateuliwe ubunge aende bungeni tujenge nchi, haya mambo mengine ya kutuletea mbelgiji tutamsamehe.
Good opinion.
Mungu inshallah ajaalie iwe hivyo.
tusuguane ndani na nje ya bunge kwa hoja,sio kukimbilia kwa mabeberu.
 
Sahivi hakuna kususia mambo, ni utoto na sio ukomavu, wazichukue tu hizo nafasi ili mambo mengine yaendelee
 
Kaa hukohuko, inaonekana huna uwezo wa kutumia akiri yako mwenyewe unatumia akiri za watu wengine hivyo hufai hata kubkaribishwa,
Ipo siku utahama tena bila kuwaza kwa kutumia akiri yako.
Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo? 🤔
 
Kuna watu wataanza kutuelewa wengine kidogo kidogo.
Mkuu wenye misimamo hapa jf ambao ni mashabiki wa chadema ni wewe na idawa basi.

Yuke tindo alikuwa na msimamo ila ni yeye akambeba
 
Back
Top Bottom