Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nina msimamo wangu sikubaliani na mwenyekiti wa chadema kuchukua pesa kuuza chama kisa njaa ya ruzukuMkuu wenye misimamo hapa jf ambao ni mashabiki wa chadema ni wewe na idawa basi.
Yuke tindo alikuwa na msimamo ila ni yeye akambeba
Mimi sasa hivi namtunuku Mdee nishani ya heshimaNaunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
P
Waungwana huwa hawatukani. Mimi napingana na watu wenye siasa za kiuanaharakati kama akina Tundu Lissu. Lakini upinzani ni muhimu kwa kusaidia CCM itawale vizuri. JPM ni zawadi toka kwa Mungu ila ni binadamu, anahitaji upinzani usio wa uanaharakati bungeniGo tell your husband that you are happy!
Ha haaa alishakuja kuchunguliaBado niponae huku....
Huyu ni mwanamke wa shoka, kakataa ujinga!Mimi sasa hivi namtunuku Mdee nishani ya heshima
Nitamuona JPM mpuuzi akimteua Tundu Lissu. Mtu aliyemtukana hadharani! Big NOOOOOOOOO Laface77Ili kujenga maridhiano na katika muktadha huu huu, JPM aombwe kuwateua Zitto, Mbowe na Sugu waende Bungeni katika vile viti vyake maalumu.
Uchaguzi umekwisha. Tujenge Nchi tu sasa.
KweliHuyu ni mwanamke wa shoka, kakataa ujinga!
P
Step by step,kwenye kupigania hivivyama CCM,CHADEMA,ACT n,k mtu unafunguka kwa tahadhari kubwa,wanasiasa wote wa bongo ni wasaka tonge,awe CCM ama vyama vingine.ndiyo uone jinsi alivyo mnafiki.
Kabisa.Huyu ni mwanamke wa shoka, kakataa ujinga!
P
CCM wamempa Rushwa kubwa mwenyekiti wa CHADEMA ndipo akakubali ili Jumuia za kimataifa zisiiwekee CCM vikwazo vya kiuchumi, wakaona pesa wanayokosa ni nyingi kuliko pesa za kuwanunua CHADEMA wawaunge mkono angalau Bunge lionekane ni la vyama vingihakuna adui wa kudumu katika siasa; pia huwezi kujua kuna nini kiliendelea nyuma ya pazia maana ilifika mahali tukaona kuwa bunge na nchi inawahitaji wabunge wa upinzani.
Naona CHADEMA wameteua wabunge viti maalum kutoka maeneo mbalimbali -huu mkakati nimeufurahia
Ujinga ni kuchukua pesa za CCM kuuza utu wao mbele ya jamiiKabisa.
Kawazidi Lisu na Lema pia
Nashukuru niliona mwanga mapema ....[emoji41]Huyu ni mwanamke wa shoka, kakataa ujinga!
P