Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Busara imetumika...Dunia ingeona Chadema wanakandamiza wanawake..ila ICC iko palepale na Chadema sio patriarchy
 
Hakuna adui wa kudumu katika siasa; pia huwezi kujua kuna nini kiliendelea nyuma ya pazia maana ilifika mahali tukaona kuwa bunge na nchi inawahitaji wabunge wa upinzani.

Naona CHADEMA wameteua wabunge viti maalum kutoka maeneo mbalimbali -huu mkakati nimeufurahia
 
Mkuu wenye misimamo hapa jf ambao ni mashabiki wa chadema ni wewe na idawa basi.

Yuke tindo alikuwa na msimamo ila ni yeye akambeba
Hata mimi nina msimamo wangu sikubaliani na mwenyekiti wa chadema kuchukua pesa kuuza chama kisa njaa ya ruzuku
 
Na hamna aliyevaa nguo za chama chao. Au wapo lakini sikuwaona?

Tusubiri maelezo yao ingawa bado sidhani kama wanastahili kuitwa wasaliti na kadhalika.

Amandla...
 
Ili kujenga maridhiano na katika muktadha huu huu, JPM aombwe kuwateua Zitto, Mbowe na Sugu waende Bungeni katika vile viti vyake maalumu.

Uchaguzi umekwisha. Tujenge Nchi tu sasa.
 
Tuliwaambia kuwa chadema walikosea kumuweka tundu lisu kugombea urais, watakuwa wameliona hilo.

Naunga mkono kuingia kwao, ili tundu lissu msariti mkuu wa nchi hii awekwe wazi.
Eti anaenda kuendereza mapambano, ngoja nitegeshe BBC leo watatangaza hii?? Au wataipotezea.
 
Go tell your husband that you are happy!
Waungwana huwa hawatukani. Mimi napingana na watu wenye siasa za kiuanaharakati kama akina Tundu Lissu. Lakini upinzani ni muhimu kwa kusaidia CCM itawale vizuri. JPM ni zawadi toka kwa Mungu ila ni binadamu, anahitaji upinzani usio wa uanaharakati bungeni
 
Hawa Wabunge wanafanya kila kitu kwa baraka zote za Chama, Mbowe nae anataka ruzuku kwenye Chama maisha yaendelee.
 
hakuna adui wa kudumu katika siasa; pia huwezi kujua kuna nini kiliendelea nyuma ya pazia maana ilifika mahali tukaona kuwa bunge na nchi inawahitaji wabunge wa upinzani.
Naona CHADEMA wameteua wabunge viti maalum kutoka maeneo mbalimbali -huu mkakati nimeufurahia
CCM wamempa Rushwa kubwa mwenyekiti wa CHADEMA ndipo akakubali ili Jumuia za kimataifa zisiiwekee CCM vikwazo vya kiuchumi, wakaona pesa wanayokosa ni nyingi kuliko pesa za kuwanunua CHADEMA wawaunge mkono angalau Bunge lionekane ni la vyama vingi
 
Not bad. Wasiwe kama Trump!
Lakini at least wangewaelezea wazi wazi wapiga kura wao kwa nini wanakubali kujiunga….eh, na hata wameahidiwa nini?!!!! Kwa kuapa 'kinyemela' wamewakosea sana wapiga kura wao. Wengi wenye msimamo watajitoa, Wallahi. Na vipi juu ya wale waliopigwa na kujeruhiwa? Labda wataomba hako zao huko Bungeni!
 
Back
Top Bottom