Chadema kigeugeuMmmmmmmmmh! ndipo hapo mnapokosea, hamko consistent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema kigeugeuMmmmmmmmmh! ndipo hapo mnapokosea, hamko consistent
🤣🤣Dah....nasikia wamesainishwa 3m na Dijey kila mwezi ....nimesikia tu [emoji2960]
Mbona nimeona Mnyika anasema hajapeleka majina
🤣🤣Imani nyepesi hiyo.
Ni afadhali wawepo bungeni kuliko kususiaHivi kweli hawa Chadema wameshindwa kuvumilia kwa miaka 5 tu ..... Kwa mtindo huu kitachofanyika 2025 itakuwa zaidi ya sasa.
Mnyika ni MUONGO....Mnyika anadanganya
👍👍👍Ni afadhali wawepo bungeni kuliko kususia
Viongozi wa upinzani huenda wamepima ujasiri wa wanachana na wapenzi wao kuona kuungwa mkono uamuzi wa maandamano ukiwa mdogo mno.Kuwa mzalendo ipende nchi yako, huu mchezo hautaki hasira.
Atakula jeuri yake.Jamani mm namuinea huruma Lema tu
Kuwa mkimbizi halafu wenzake huku wamemgeuka
Aje tu aombe radhi
Chama kina weneywe na wenye chama.sio wewe [emoji23][emoji23][emoji23]hawananbaraka za chama acha kuzusha
Swadaktaaa.....Kukimbia tatizo sio suluhisho la utatuzi wake.
Bora kukaa ndani mkiwa wanne msikilize yaliyo ndani kuliko kukaa nje na kuchungulia yaliyoendelea ndani mkiwa mia mbili.
Ni heri kukubali kushindwa kwa kushindana mkiwa ndani kuliko kutokukubali kushindwa mkiwa nje.
Ukishindwa jishushe ili uwepo wako uwepo.
....changanya na ZAKO...Wewe kama ulitukana ndugu na jamaa zako sababu ya kushabikia Chadema, basi imekula kwako. Za kuambiwa,...
Fake news huku kina Halima washaapa [emoji23][emoji23]Fake news
Mwenyewe MBOWE NA MNYIKA...Chama kina weneywe na wenye chama.sio wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣Fake news huku kina Halima washaapa [emoji23][emoji23]
Pole sana aisee