Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Aligundua kazungukwa na wanafkiTundu msakiti mkubwa kasaliti wenzie usimsifie kaitisha maandamano halafu yeye huyo mbio katimkia ubelgiji
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aligundua kazungukwa na wanafkiTundu msakiti mkubwa kasaliti wenzie usimsifie kaitisha maandamano halafu yeye huyo mbio katimkia ubelgiji
pesa yake na ya Amsterdam wameila hadi basi Lisu alijifanya mjuaji akakutana na waliokubuhu kwenye ujuaji
Msitumie neno chadema wamekubali,wamesuguana huko maana wala hawanaga chochote juu ya wananchi zaidi ya kutafuta ajira tu za kushibisha matumbo yao,wamepigizana kelele huko kina Mbowe wakawa wapole kwa wanawake kuchongoa midomo,hawa chadema ni kundi la kihuni tuWabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma...
Kwa masikio yako.Hii hotuba ya Mdee, akimshukuru Spika???? Sio kweli, sio uzushi kweli huu? Nitaamini nikimsikia Mdee kwa macho yangu
Mbowe na Halima Mdee ndio wamiliki wa Chadema by Mwita WaitaraMbowe fukuza hizi takataka zirudi CCM haraka
Nampongeza Mbowe kwa kumteua kamanda Husna wa Bavicha kuwa mbunge wa viti maalumu!John umeanza kujipa kazi ngumu kama PASCAL MAYALLA.
UKIZEEKA UTAKUWA KAMA MAYALLA.
Halima Mdee ndio KUB mpya.Halima ni mpuuzi kama wewe hapo
Hakuna mchanga mchinga kama nyieHalima Mdee ndio KUB mpya.
Mwakani atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwa baraka za mzee Mtei!
Karibu Mara bwashee!Hayo ni ya kwako...
Unamjua Halima, au unamsikia tu?
Huyo LOWASA yupo wapi?njooni msaidieni mwenzenu uku, hakuna upinzani tz, wote ni ccm, mpinzani wa ccm atatoka ccm kama lowasa alivotoka kwenda upinzani, nje ya hapo we endelea kula maumivi tu, wote mpaka wakina mbowe ni ccm
Diehard, exremely oppurtunistic, wouldn’t care a hoot about your opinion,feminist, stingy ( of course a Pare!), would go against the grain for personal gain.At least wakati tunasotea degree..sijui siasa zimebadilisha mtu kiasi gani. All in all, kwa hii move yao, CDM iko vipande viwili