Umemaliza kila kitu. Halafu ukiongezea kuwa na rais kama Putin mwenye uzoefu kwenye medani za kisiasa na kivita duniani.
..inategemea raisi na makamanda na wapiganaji wake.
..kwa mfano, vita kati ya Tanzania na Uganda.
..yaani vita kati ya Mwalimu Julius Nyerere, na Field Marshal Iddi Amin Dada.