Hatimaye Wamekiri bayana: Kumchukulia poa Urusi ni kujipeleka kwenye kipigo

Hatimaye Wamekiri bayana: Kumchukulia poa Urusi ni kujipeleka kwenye kipigo

Sawa. Lakini Hujatuambia 1. Ni yupi kati yao anaonekana kutumia akili zaidi katika hiyo vita;
2. Ni yupi kati yao hajaweza kufanikiwa katika mipango-vita anayopanga ukizingatia awali ilisemwa ni OP ya 72hrs lakini sasa ni zaidi ya miezi 8 ngoma bado mbichi.
3. Ni kiongozi yupi kati yao anaonesha kuwajali zaidi wapiganaji wake kwa kuwatembelea na kuwapa morali huko frontline
4. Ni yupi anazingatia na kuheshimu Taratibu za vita zilizowekwa chini ya UN e.g. kutoshambulia raia na miundombinu isiyokuwa na maslahi ya kivita kama vile Mahospitali, shule, misikiti/makanisa etc.

..Putin anashambulia.

..Zelensky anajihami.

..Au wewe unaonaje?
 
..Putin anashambulia.

..Zelensky anajihami.

..Au wewe unaonaje?
Ninavyoona mimi:
1. Putin anashambulia kiholela - hana malengo e.g. anaposhambulia shule za chekechea au viwanja vya kuchezea watoto ni ili iweje? Lakini akipiga madaraja ni sahihi kwa sababu anazuia askari na vifaa-vita kusafirishwa kupitia hapo.
2. Zelensky anajihami kwa sababu adui(aliyevamia) yupo ndani nchini Ukraine. Kwa hiyo Zele hana jinsi - Analazimika yan anapigania uhai wake; vinginevyo asipopambana kufa na kupona atakwenda na maji i.e.ataangamizwa jumla.
Lakini yote kwa yote;
Putin hii vita imemuweka pabaya - imemshushia Hadhi na Heshima yake kama Taifa kubwa mbele ya mataifa (Supa pawa)kwa kujiingiza kupigana vita na kanchi kadogo vile halafu bado kanamtesa hajamudu kukanyamazisha. Mataifa yalitegemea kuwa Urussi angebaki kuwa ni mzee wa kusuluhisha vitaifa vidogo-vidogo vingine vinapogombana au kuhitilafiana kumbe sasa yeye ndo kaingia kupigana.Ameonesha mfano mbaya kabisa. Ni sawa na baba nyumbani anapokuwa yeye ndio mwanzisha ukorofi / ugomvi katika familia.
 
Attn: JokaKuu

Utishio wa Ukraine kwa Russia uko katika picha hii. Kuna watu wanapigana na Russia kupitia Ukraine. Kwa hiyo, hicho kichapo anachochezea Ukraine kuna watu kibao wanaumia na kulia. Bila shaka na wewe unawaona.
Umenena vyema. Ila lakini na wewe uuone ukweli huu kwamba Urussi nako hakujawa Shwari. Wapo watu/Raia wanaoteseka na wengine wamefikia hata hatua ya kujiua kuliko kuendelea kuishi hivyo. Raisi wa Urussi naye anahangaika huku na huko (e.g. NKora, Iran, Belarus, Wagner group etc)anakusanya watu mitaani(kamata-kamata) anawarubuni wafungwa waingie jeshini n.k. n.k. Hii yote ni ili vita hii isimwelemee mno Mrussi.Kwa hiyo ukisema kuna watu kibao wanaoumia na kulia mbona wanapatikana/wanakutilizwa pande zote husika katika vita hii.
 
Kama nilivyosema hapo awali, anachofanya ni kuwakomoa wale ambao wako nyuma ya Ukraine.
Urussi amefikia mahali akagundua kwamba kuna mahali alibugi stepu lakini kwa sasa ni too late hawezi kurekebisha tena hali na hata akikomalia mapigano hakuna tena maslahi kwake. Kwa mantiki hiyo anahakikisha anawaachia Waukraine maumivu makali (magofu/uharibifu, simanzi na masononeko kwa kufiwa na wapendwa wao n.k). Mrussi hahitaji tena kushinda vita; hana tena sababu au mpango wa kushinda Vita hiyo ambayo haina maslahi kwake.Anachafanya ni kuvunja-vunja, kupasua-pasua haribu na kila vurugu anayoweza.
 
Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu. Kamfananisha na hogo pevu ambalo ukitaka kuling'oa sharti uwe muerevu. Sasa kazi kwao ambao wanamchukulia poa Urusi.

“Anyone who underestimates Russia is headed for defeat”

An interview with Colonel-General Oleksandr Syrsky, Ukraine’s second most senior soldier

Oleksandr SyrskySent via Ollie Carroll

Dec 15th 2022 | EASTERN UKRAINE

General oleskandr syrsky is late. He apologises when he eventually arrives, two hours behind schedule, at a location near his situation room in eastern Ukraine. War has a habit of surprising, he says: just when things appear fine, you are hit with a storm. Punching words out in a strained staccato, he appears exhausted by the stress of overseeing operations on Ukraine’s bloody eastern front. “The Russians aren’t idiots,” he says. “They aren’t weak. Anyone who underestimates [them] is headed for defeat.”

Described by colleagues as an ascetic, an obsessive planner with an addiction to the gym, even building one at his headquarters, the head of Ukraine’s ground forces has done much to tilt the war in his country’s favour. He was responsible for two critical victories: stopping what Russia considered to be the “world’s second army” at the gates of Kyiv in March; and then pushing it out of the Kharkiv region in September. Now he is the man charged with facing down a humiliated but regrouped Russian army that is throwing everything it has at the town of Bakhmut in Donbas.

Wangewachukulia poa si wangeshapigwa? Au huelewi context ya alichoongea huyo Jenerali? Russia ndio aggressors, wao ndio wanatakiwa wakiri kwamba vita ni ngumu kuliko walivyotegemea. Toka March mpaka leo hakuna chochote cha maana walicho- achieve.
 
Wangewachukulia poa si wangeshapigwa? Au huelewi context ya alichoongea huyo Jenerali? Russia ndio aggressors, wao ndio wanatakiwa wakiri kwamba vita ni ngumu kuliko walivyotegemea. Toka March mpaka leo hakuna chochote cha maana walicho- achieve.

Sawa.
 
Back
Top Bottom