Hatimaye wanasayansi wabobezi wanena juu ya Simba S.C ya msimu wa 2016/2017.

Stress licha ya mashabiki viongozi wenu tayari wanatafuta vijisababu mara ooh kuna wachezaji wanacheza chini ya kiwango mtani ukiangalia threads zako kuna siku nilikuonya kuwa wino huu haufutiki ukabisha sasa kiko wapi kufungwa mechi mbili mfululizo tayari mmechanganyikiwa! Safari ndio kwanza imeanza mbio ndefu unatakiwa uwe na pumzi. Waambie hao wana sayansi wako wabaki maabara mambo yamepamba moto (cotton fire )huku.
 
Kama nilikua nauona mwisho wa kutabamu kwa mwandishi wa huu uzi
 
Hayo matokeo ya mechi 2 haijawafanya wanasayansi washindwe kuendelea na kazi nzito waliyoianza rasmi 03.10.2016.. Soon nitakuja na ripoti ya maendeleo ya hiyo kazi.
 
Sembo njoo uendeleze uzi umepoa sanaaaaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nipo.. Majukumu yamekua mengi.. Ila soon nitarejea.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hakuna haja ya kutoa sababu wengi tunajua upo eneo korofi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] .. Ni kweli Mkuu.. Ila soon tutakua pamoja
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] .. Ni kweli Mkuu.. Ila soon tutakua pamoja
Mkuu acha kunidanganya,soon ipi unaizungumzia?kwa mwenendo wenu sitegemei kukuona tena humu labda msimu mpya2017/2018
 
Bangi ya kismiri sio nzuri asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…