tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Mkoa wa Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kwenye idadi ya watu wenye wapenzi zaidi ya wawili. Wastani kwa wakazi wa Dar es Salaam ni wapenzi tisa kwa mtu, Lindi watu nane na Dodoma watu watano!
CHANZO: Ripoti ya Afya, Malaria na viashiria (TDHS-MIS 2022)
Ni kama inavyojieleza kwenye utafiti hapo juu. Wanaume wa Dar walidharauliwa na kubagazwa kwa muda mrefu sana. Sasa wamerudisha heshima yao. Kumiliki wanawake 9, kuwadinya ipasvyo na kuwatunza sio kazi ndogo. Wanaume wa Dar mmetisha sana makamanda wangu. Heshima kwenyu!