Hatimaye wanaume wa Dar wamerudisha heshima yao. Data hizli hapa

Unakuta ustaazi kaoa wanawake 4 halafu ana michepuko 5; jumla 9. Jamani wanawake mtuonee huruma wanaume wa Dar.
 
Rudia kusoma andiko mkuu. Upande wa Dar ripoti inasema kuwa mwanaume mmoja ana wapenzi hadi 9!
Sasa jiulize kasi ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa ikoje kwa ujumla wake.... Usugu wa haya magonjwa miaka 4-10 ijayo itakuwaje....
 
Maambukizi ya ukimwi wanaongozza Njombe na Mbeya mkuu. Dar haihusiki.
 
Nyeto zinapigwa huko mikoani tu mkuu. Dar malaya wengi hata wa jero wapo. Utashindwa kulipia jero upate malaya hadi upige nyeto?
Hu sisi hatununui tunapewa bure kabisa mkuu.tunapewaa nina pewaa
 
View attachment 3236143
Mkoa wa Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kwenye idadi ya watu wenye wapenzi zaidi ya wawili. Wastani kwa wakazi wa Dar es Salaam ni wapenzi tisa kwa mtu, Lindi watu nane na Dodoma watu watano!

CHANZO: Ripoti ya Afya, Malaria na viashiria (TDHS-MIS 2022)

Ni kama inavyojieleza kwenye utafiti hapo juu. Wanaume wa Dar walidharauliwa na kubagazwa kwa muda mrefu sana. Sasa wamerudisha heshima yao. Kumiliki wanawake 9, kuwadinya ipasvyo na kuwatunza sio kazi ndogo. Wanaume wa Dar mmetisha sana makamanda wangu. Heshima kwenyu!
Namuonea huruma atakayekuja kukuita BABA
 
Wanaume wa Dar ndio wanaume wa ndoto ya kila mwanamke hapa Tanzania. Ukiona mwanamke anakandia mwanaume wa Dar huyo hana TBS maneno yaemkosaji.
 
Back
Top Bottom