Hatimaye wanaume wa Dar wamerudisha heshima yao. Data hizli hapa

Hatimaye wanaume wa Dar wamerudisha heshima yao. Data hizli hapa

Wanaume wa Dar ndio wanaume wa ndoto ya kila mwanamke hapa Tanzania. Ukiona mwanamke anakandia mwanaume wa Dar huyo hana TBS maneno yaemkosaji.
Nonsense Kwa uwanaume gan waliokua nao mnazalisha mashoga Kila kukicha

[emoji3] Acha kujitekenya na kucheka mwnyewe
 
View attachment 3236143
Mkoa wa Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kwenye idadi ya watu wenye wapenzi zaidi ya wawili. Wastani kwa wakazi wa Dar es Salaam ni wapenzi tisa kwa mtu, Lindi watu nane na Dodoma watu watano!

CHANZO: Ripoti ya Afya, Malaria na viashiria (TDHS-MIS 2022)

Ni kama inavyojieleza kwenye utafiti hapo juu. Wanaume wa Dar walidharauliwa na kubagazwa kwa muda mrefu sana. Sasa wamerudisha heshima yao. Kumiliki wanawake 9, kuwadinya ipasvyo na kuwatunza sio kazi ndogo. Wanaume wa Dar mmetisha sana makamanda wangu. Heshima kwenyu!
Na bado eti kuna demu vale tines hii yupo single singlest singular 🤣🤣🤣🤣
 
Et watoto wa mjini 😀😀😀😀😀 usikute hata hujazaliwa huko unakazi yakujitapa ujinga
 
Nonsense Kwa uwanaume gan waliokua nao mnazalisha mashoga Kila kukicha

[emoji3] Acha kujitekenya na kucheka mwnyewe
Mashoga ni wangapi Dar mkuu? je, ni wengi kuliko waliopo Tanga na Zanzibar?
 
Back
Top Bottom