Hatimaye wanaume wa Dar wamerudisha heshima yao. Data hizli hapa

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
24,225
Reaction score
22,632

Mkoa wa Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kwenye idadi ya watu wenye wapenzi zaidi ya wawili. Wastani kwa wakazi wa Dar es Salaam ni wapenzi tisa kwa mtu, Lindi watu nane na Dodoma watu watano!

CHANZO: Ripoti ya Afya, Malaria na viashiria (TDHS-MIS 2022)

Ni kama inavyojieleza kwenye utafiti hapo juu. Wanaume wa Dar walidharauliwa na kubagazwa kwa muda mrefu sana. Sasa wamerudisha heshima yao. Kumiliki wanawake 9, kuwadinya ipasvyo na kuwatunza sio kazi ndogo. Wanaume wa Dar mmetisha sana makamanda wangu. Heshima kwenyu!
 
Wengi wao ni marioos,kimoko chali na wanasuka mabutu.
CC;Wema Sepenga kwa ushahidi zaidi.
 
Wengi wao ni marioos,kimoko chali na wanasuka mabutu.
CC;Wema Sepenga kwa ushahidi zaidi.
Umewafanyia utafiti mkuu? Asa mtu akipiga kimoja kwa wanawake saba si jumla itakuwa 9 mkuu? Wewe unataka apige viwili jumla iwe 18 si utamuua aisee?
 
Hao wanaomiliki wanawake wengi ni immigrants kutoka mikoani sio wazawa, kijana unashinda kwa mihogo na miguu ya broila utawezaje miliki wanawake wengi?, wanawake wa Dar wana uhaba mkubwa wa wanaume.
Ongezea na wale walio left chat room.
 
Alaaa yaan hapo Hoja ni kua, Wanawake wenu wa Dar, Wana wanaume kuanzia wawili n.k

Wanaumé wa Dar mtapata wapi nguvu hizo ?.
 
Alaaa yaan hapo Hoja ni kua, Wanawake wenu wa Dar, Wana wanaume kuanzia wawili n.k

Wanaumé wa Dar mtapata wapi nguvu hizo ?.
Mkuu tafadhali usitudharau. Wanaume wa Dar tumeongezeka nguvu ghafla!
 
Alaaa yaan hapo Hoja ni kua, Wanawake wenu wa Dar, Wana wanaume kuanzia wawili n.k

Wanaumé wa Dar mtapata wapi nguvu hizo ?.
Wewe unataka wanaume wa Dar tuendelee kuwa wachovu tudinyiwe wake zetu mpaka lini mkuu?
 
Alaaa yaan hapo Hoja ni kua, Wanawake wenu wa Dar, Wana wanaume kuanzia wawili n.k

Wanaumé wa Dar mtapata wapi nguvu hizo ?.
Hoja ni kwamba.
1.Ni mkoa wenye wanaume wengi walio left group.
2.Mtindo mbovu wa maisha kwa vijana, chakula, pombe n.k

Kwa hizo sababu mbili wanabaki wanaume wanaojiweza wachache, hivyo wanawake wanakuwa wengi wanaume wachache... hapo ndipo mwanaume mmoja anamiliki wanawake wengi..
 
Unamaanisha nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…