Hatimaye wanaume wa Dar wamerudisha heshima yao. Data hizli hapa

Wanaume wa Dar ndio wanaume wa ndoto ya kila mwanamke hapa Tanzania. Ukiona mwanamke anakandia mwanaume wa Dar huyo hana TBS maneno yaemkosaji.
Nonsense Kwa uwanaume gan waliokua nao mnazalisha mashoga Kila kukicha

[emoji3] Acha kujitekenya na kucheka mwnyewe
 
Na bado eti kuna demu vale tines hii yupo single singlest singular 🀣🀣🀣🀣
 
Et watoto wa mjini πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ usikute hata hujazaliwa huko unakazi yakujitapa ujinga
 
Na bado eti kuna demu vale tines hii yupo single singlest singular 🀣🀣🀣🀣
Kama yupo mkoani mshauri akuje Dar apate partner chap.
 
Nonsense Kwa uwanaume gan waliokua nao mnazalisha mashoga Kila kukicha

[emoji3] Acha kujitekenya na kucheka mwnyewe
Mashoga ni wangapi Dar mkuu? je, ni wengi kuliko waliopo Tanga na Zanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…