Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu,
Baada ya wananchi kuvamia page za serikali mpaka za rais samia na no reforms no election chawa na kupe wa mama wamekuja na kampeni yao ili kuonesha mama anakubalika.
Kwenye masuala ya utekaji hutakaa kuwaona wasanii wakisema lolote, ni wale wale wachache tu wa kila siku ndio huongelea masuala haya.
Sasa raia kama tulivyokubaliana ni muda wa kuwakataa hawa kupe wote, unfollow page zao, uchawa wao na biashara zao mpaka kieleweke.
View attachment 3359470
View attachment 3359472
View attachment 3359473
Ni mwendo wa kutembeza hashtags tu #KataaMachawa #PingaUnyanyasaji #PingaUtekaji #NRNE
Mkuu una audio ya hii singeli?
Sawa mtandao haukusaodii. Taarifa ya UN umeletewa barua ofisini au nyumbani kuwa ni marufuku ndege za Tanzania kuruka anga zao.Acheni upuuzi.
Mie sikubaliani na utekaji wala chochote kinachoendelea ila pia sikubaliani na upuuzi.
Mliona wapi serikali inarekebishika kwa kusikiliza mambo ya mtandaoni? Hio si itakua failed state?
Makonda aliwahi kusema maswali na mambo ya mtandaoni majibu yake mtayapata hukohuko mtandaoni.
Yespiga unfollow unakuwaje mfuasi wa vilaza
Hahahah KWanini mkuu?Humu nitakula ban. Ngoja nitulie
Tuwakatae hawa.Wakuu,
Baada ya wananchi kuvamia page za serikali mpaka za rais samia na no reforms no election chawa na kupe wa mama wamekuja na kampeni yao ili kuonesha mama anakubalika.
Kwenye masuala ya utekaji hutakaa kuwaona wasanii wakisema lolote, ni wale wale wachache tu wa kila siku ndio huongelea masuala haya.
Sasa raia kama tulivyokubaliana ni muda wa kuwakataa hawa kupe wote, unfollow page zao, uchawa wao na biashara zao mpaka kieleweke.
View attachment 3359470
View attachment 3359472
View attachment 3359473
View attachment 3359518
Ni mwendo wa kutembeza hashtags tu #KataaMachawa #PingaUnyanyasaji #PingaUtekaji #NRNE
Hakika mkuuTuwakatae hawa.
Kuna mtu nilitaka nimtukane ngoja nikaushe mkuuHahahah KWanini mkuu?
Ni suala la muda tuAcheni upuuzi.