PreGE2025 Hatimaye wasanii wameingia mzigoni kumpigia kampeni Rais Samia akubalike mtandaoni, tuukatae uchawa

PreGE2025 Hatimaye wasanii wameingia mzigoni kumpigia kampeni Rais Samia akubalike mtandaoni, tuukatae uchawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Screenshot_20250608_083344.jpg

Naona kuna kinyago hapa, ni cha nani hiki?
 
Wakuu,

Baada ya wananchi kuvamia page za serikali mpaka za rais samia na no reforms no election chawa na kupe wa mama wamekuja na kampeni yao ili kuonesha mama anakubalika.

Kwenye masuala ya utekaji hutakaa kuwaona wasanii wakisema lolote, ni wale wale wachache tu wa kila siku ndio huongelea masuala haya.

Sasa raia kama tulivyokubaliana ni muda wa kuwakataa hawa kupe wote, unfollow page zao, uchawa wao na biashara zao mpaka kieleweke.


View attachment 3359472
View attachment 3359473
View attachment 3359518
View attachment 3359551
View attachment 3359914
View attachment 3359922

Ni mwendo wa kutembeza hashtags tu #KataaMachawa #PingaUnyanyasaji #PingaUtekaji #NRNE
Wapuuzi Tu hao

 
Acheni upuuzi.

Mie sikubaliani na utekaji wala chochote kinachoendelea ila pia sikubaliani na upuuzi.

Mliona wapi serikali inarekebishika kwa kusikiliza mambo ya mtandaoni? Hio si itakua failed state?

Makonda aliwahi kusema maswali na mambo ya mtandaoni majibu yake mtayapata hukohuko mtandaoni.
Wananchi Wame voice up bila kusikilizwa kupitia wawakilishi wao
 
Wakuu,

Baada ya wananchi kuvamia page za serikali mpaka za rais samia na no reforms no election chawa na kupe wa mama wamekuja na kampeni yao ili kuonesha mama anakubalika.

Kwenye masuala ya utekaji hutakaa kuwaona wasanii wakisema lolote, ni wale wale wachache tu wa kila siku ndio huongelea masuala haya.

Sasa raia kama tulivyokubaliana ni muda wa kuwakataa hawa kupe wote, unfollow page zao, uchawa wao na biashara zao mpaka kieleweke.


View attachment 3359472
View attachment 3359473
View attachment 3359518
View attachment 3359551
View attachment 3359914
View attachment 3359922

Ni mwendo wa kutembeza hashtags tu #KataaMachawa #PingaUnyanyasaji #PingaUtekaji #NRNE
Dawa ni ku unfollow tu
 
Wasanii wengi wa tz ni njaa kaki,wanatumika tu
Hivi mm na kichwa changu kilivyokiwa timamu nianze kumfatilia msanii au mtu fulani sjui influencer anishawishi

Ova
 
Back
Top Bottom